kumbe ndo sababu ya kunyimwa mkopo dah inauma sana


nashukuru sana bwana braza kwa ushauri wako mzuri mungu akubariki sana kaka
 
wanadai wanao appleal oi wale waliopata mkopo wanaona hauwatoshi,sio kwamba hujapata mkopo ndo uapl,kaka ss kesho mguu kwa mguu kwa WIZARA YA ELIMU.tuone atima ye2 itakuwaje.

ndo ivo bro maana me nimeshatembelea ofice zao hao watu ila majibu yao unaweza kumuua mtu ase
 
waongo hao, km mda wa kawaida zmeisha, kwenye appeal ztatoka wap? Km zpo mahal c waztoe wawape hao waliokosa ila wana sifa ya kupata?

si ndio apo bwna yan selikali yatu ni kuzungushana tyu kiukweli roho inatuuma sie watoto wa maskini
 
mkuu mwita pole kwa kukosa kumbe ili sakata limekupata nb wewe..! Me nimelamba 97 % ..! Vp oil sumu amekosa nn? Mbona kimya sana humu jamvini

Inabidi nijiunge freemanson nipate pesa ya kwenda chuo,manaake mh hali ni ngumu sana.

Hongera sana mkuu,..... oil sumu atakuwa kalamba sasahivi anapiga budget ya watoto wa MUCE.

Ila kumbuka kuirudisha hiyo pesa na wenzako waitumie.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…