kumbe ndo sababu ya kunyimwa mkopo dah inauma sana

kumbe ndo sababu ya kunyimwa mkopo dah inauma sana

Kaka pole sana kwa yalio kukuta lakin hautakiwi kukata tamaa kiasi hicho,si wewe tu ulie kosa mkopo, mpo wengi sana na chuo utawakuta wengi sana kama wewe, na wengine utawakuta wapo mbele ako nao wanalia kitu hicho hicho so take easy, Mimi pia yalinitokea kama yalivyo kutokea wewe lakini kwa sasa nipo third year na nimesoma bila loan na fuculty hyo hyo uliochaguliwa wewe lakini mimi sikukata tamaa kama wewe(jikaze mtoto wa kiume) pia nilikuwa na mawazo kama yako yakusema nikifika chuo nita apeal lakini sikufanikiwa mpaka leo hii, ukweli ni kwamba ktk watu 100 wanao appeal si watu zaidi ya 5 ndo wanaweza kupata, nao inabidi wawe na reasons zakutosha kama yatima,fucult mhimu(nyingi ardhi na COET), bila hivyo utakuwa unapoteza hela zako zaku apeal kila mwaka(50,000) .sikukatishi tamaa ila ukweli ndo huo coz mim nimeshinda sana kule bodi ya mikopo(msasani) bila hata mafanikio kwa mda wa miaka 2,cha msingi ninachokushauli kama unauwezo wa kwenda chuo nenda alafu usubili kuomba tena pale unavyoingia mwaka wa pili.

nashukuru sana bwana braza kwa ushauri wako mzuri mungu akubariki sana kaka
 
wanadai wanao appleal oi wale waliopata mkopo wanaona hauwatoshi,sio kwamba hujapata mkopo ndo uapl,kaka ss kesho mguu kwa mguu kwa WIZARA YA ELIMU.tuone atima ye2 itakuwaje.

ndo ivo bro maana me nimeshatembelea ofice zao hao watu ila majibu yao unaweza kumuua mtu ase
 
waongo hao, km mda wa kawaida zmeisha, kwenye appeal ztatoka wap? Km zpo mahal c waztoe wawape hao waliokosa ila wana sifa ya kupata?

si ndio apo bwna yan selikali yatu ni kuzungushana tyu kiukweli roho inatuuma sie watoto wa maskini
 
mkuu mwita pole kwa kukosa kumbe ili sakata limekupata nb wewe..! Me nimelamba 97 % ..! Vp oil sumu amekosa nn? Mbona kimya sana humu jamvini

Inabidi nijiunge freemanson nipate pesa ya kwenda chuo,manaake mh hali ni ngumu sana.

Hongera sana mkuu,..... oil sumu atakuwa kalamba sasahivi anapiga budget ya watoto wa MUCE.

Ila kumbuka kuirudisha hiyo pesa na wenzako waitumie.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom