kumbe ndo sababu ya kunyimwa mkopo dah inauma sana

kumbe ndo sababu ya kunyimwa mkopo dah inauma sana

swali lako limekaa kimbea/kikekike/kinafki samahan lakini

Sema nn ungetoa ushauri basi maana hata daktari na mwalimu wote wanahudumia watu lakin katika mazngira tofauti so ucpende kujaji coz me mwenyewe nna majanga kama hayo so nilvyo uliza nilitaka kujua 2nafanyaje sasa... Nmekueshimu sana mkuu japo mawazo yako mtayafanyia kaz maana labda uwezo wako wa kufikir umeishia hapo!
 
Hv cc wa BA in economics udsm mbona majanga? mana kila mtu anasema kakosa including me.......MAJANGA.
 
Hv cc wa BA in economics udsm mbona majanga? mana kila mtu anasema kakosa including me.......MAJANGA.

Aseee hawa jamaa mikopo yao ni kama "sandakalawe,mwenyekupata apate mwenye kukosa akose"

Kuna dem yupo UDOM BA in eco. kavuta kila kitu...
Afu kuna jamaa yupo MUST mechanical,kaambulia 'not secure'....

Kiukweli Hawa jamaa ni wapuuzi sana....
 
Sema nn ungetoa ushauri basi maana hata daktari na mwalimu wote wanahudumia watu lakin katika mazngira tofauti so ucpende kujaji coz me mwenyewe nna majanga kama hayo so nilvyo uliza nilitaka kujua 2nafanyaje sasa... Nmekueshimu sana mkuu japo mawazo yako mtayafanyia kaz maana labda uwezo wako wa kufikir umeishia hapo!

Nitakujibu ukijifunza kuandika.ILA POLE PIA KWA KUKOSA MKOPO ,MUNGU YU NASI.
 
Aseee hawa jamaa mikopo yao ni kama "sandakalawe,mwenyekupata apate mwenye kukosa akose"

Kuna dem yupo UDOM BA in eco. kavuta kila kitu...
Afu kuna jamaa yupo MUST mechanical,kaambulia 'not secure'....

Kiukweli Hawa jamaa ni wapuuzi sana....

Hao ndio HESLB.
 
mmmh eti wanasema tuapeal wakat wameshasema kua budget haitoshi kiukweli huu ni wizi
 
You were not allocated higher
education loan for 2013/14
academic year for this
reason:ELIGIBLE FOR LOAN, BUT
BUDGET EXHAUSTED
kumbe nilitakiwa kupewa ila ela wameshagawana dah inaniuma sana....!!!

ndg pole hukujua policies za loanbod ilikuwa first to aplpy first to be treated/chosen. Wewe ulituma lin? May,june, au july? Km ulituma mwishon mwa june au mwanzon mwa july unaeza kosa mana walitoa option mapema kuomba mkopo hata kabla matokeo ya f6 kutoka.
 
Uongo mtupu....

Tuliotoka jeshini mbona tumepata nakati tuliomba mwishoni kabisa....

Nakumbuka niliomba mkopo,wakati zimebaki dakika 12,na zile form za mkopo nikazipost baada ya deadline,na mkopo nimelamba 100%...
 
ndg pole hukujua policies za loanbod ilikuwa first to aplpy first to be treated/chosen. Wewe ulituma lin? May,june, au july? Km ulituma mwishon mwa june au mwanzon mwa july unaeza kosa mana walitoa option mapema kuomba mkopo hata kabla matokeo ya f6 kutoka.

sio kweli maana kuna rafiki yangu alifanya application ata bado matokeo hayajatoka na amenyimwa so unapotoa mchango kua na uakika na unachosema bro
 
Kaka pole sana kwa yalio kukuta lakin hautakiwi kukata tamaa kiasi hicho,si wewe tu ulie kosa mkopo, mpo wengi sana na chuo utawakuta wengi sana kama wewe, na wengine utawakuta wapo mbele ako nao wanalia kitu hicho hicho so take easy, Mimi pia yalinitokea kama yalivyo kutokea wewe lakini kwa sasa nipo third year na nimesoma bila loan na fuculty hyo hyo uliochaguliwa wewe lakini mimi sikukata tamaa kama wewe(jikaze mtoto wa kiume) pia nilikuwa na mawazo kama yako yakusema nikifika chuo nita apeal lakini sikufanikiwa mpaka leo hii, ukweli ni kwamba ktk watu 100 wanao appeal si watu zaidi ya 5 ndo wanaweza kupata, nao inabidi wawe na reasons zakutosha kama yatima,fucult mhimu(nyingi ardhi na COET), bila hivyo utakuwa unapoteza hela zako zaku apeal kila mwaka(50,000) .sikukatishi tamaa ila ukweli ndo huo coz mim nimeshinda sana kule bodi ya mikopo(msasani) bila hata mafanikio kwa mda wa miaka 2,cha msingi ninachokushauli kama unauwezo wa kwenda chuo nenda alafu usubili kuomba tena pale unavyoingia mwaka wa pili.
 
usijali bro tupo pamoja ni katika harakati za kueleweshana ndugu usijali bro may be 2jaribu kuapil kiukweli

wanadai wanao appleal oi wale waliopata mkopo wanaona hauwatoshi,sio kwamba hujapata mkopo ndo uapl,kaka ss kesho mguu kwa mguu kwa WIZARA YA ELIMU.tuone atima ye2 itakuwaje.
 
Nitakujibu ukijifunza kuandika.ILA POLE PIA KWA KUKOSA MKOPO ,MUNGU YU NASI.

mkuu mwita pole kwa kukosa kumbe ili sakata limekupata nb wewe..! Me nimelamba 97 % ..! Vp oil sumu amekosa nn? Mbona kimya sana humu jamvini
 
naungana na wewe ndg. faraji..

Kuna watu wachache humu jf, hawana ustaarabu kabisa, they're always here to post nasty notions,ilimradi tu nao waonekane....

Back to the topic....
Pole sana faraji kwa haya majanga yaliyokukuta...!!

Hivi hawa heslb wanamaanisha nini wanaposema pesa zimeeisha,alafu wanakwambia subiri nafasi za appeals zitoke...

waongo hao, km mda wa kawaida zmeisha, kwenye appeal ztatoka wap? Km zpo mahal c waztoe wawape hao waliokosa ila wana sifa ya kupata?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom