Kumbe ndugu zetu wa damu Wachina nao hutumia samaki nchanga

Acha kujidhalilisha hivyo, utakuwaje na ndugu Mchina?
 
Mpaka leo bado najiuliza wale wanaosema Adam na Hawa/Ever walikuwa ni Wachina kweli na pia nashangaa kama walikuwa Wachina kwanini hawakumla yule nyoka?! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
 
kufaana , kufanana na nakushibana, ndo undugu haswa.
Railways , roads ,maendeleo kibao ya nchii hii tuko nao pamoja

Na pia tukikaa nao makini huenda soko la hao chamaki wa changa likakua😂🤣 hapa nchini

Labda wewe ndo umefanana na Mchina, mimi siyo, ...
 
Mbona panya wanaliwa jamani!
Mimi sio mchina lakini panya nakula.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…