Kumbe ndugu zetu wa damu Wachina nao hutumia samaki nchanga

Kumbe ndugu zetu wa damu Wachina nao hutumia samaki nchanga

Na wameweka na mzani kabisa,ukitaka robo,nusu,kilo unapata
 
nilpochoka ni nilipoona wanakula bamboo shoots
1609178118775.png
 
Wanaweza kuwa wanakushangaa wewe unayekula dagaa na senene!
Kila race na Milo yake
 
Back
Top Bottom