kumbe NELLY ushobokaji alianza zamani

sabasita

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2009
Posts
1,501
Reaction score
393
hapa akiwa anaomba namba za Radio na weasal baada ya kuwashobokea
 
hivi kushoboka kumbe ni kupiga picha na watu eenh?

No wonder i didnt know... huhuhuuuu!
 
Mbn sioni akiomba namba za simu??!!!!

Acha ushamba.
 
Kwahyo fast jet ndo rais mshobokaji duniani. Hadi kwa 50 cent na boys 2 men
 
Bwahahaaaa mna utanii na boss wa H.o.d!!
 
Tunawekewaa picha tu lakin hatuon wakipeana nambaaa

Chris brown anaweza kumpa namba ila badae ndomo akimpigie utasikia " Who the fu*k are u? Wenzetu kule huwez kuongea na wasanii kijinga jinga lazima upitie kwa manager, yan manager to manager talks, sasa ndom kama kaweza kubahatika kupata na namba bas ana nyota
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…