Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Kuna watoto hawajamsoma muanzisha uzi
watamuelewa vipi wakati kazi yao kumsifia diamond na wema tu uko insta?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna watoto hawajamsoma muanzisha uzi
Kuna watoto hawajamsoma muanzisha uzi
Chris brown anaweza kumpa namba ila badae ndomo akimpigie utasikia " Who the fu*k are u? Wenzetu kule huwez kuongea na wasanii kijinga jinga lazima upitie kwa manager, yan manager to manager talks, sasa ndom kama kaweza kubahatika kupata na namba bas ana nyota
umeona eeeh!yani umenkosha sana....!
View attachment 168564hapa akiwa anaomba namba za Radio na weasal baada ya kuwashobokea
We jamaa nimeku salute kwa literature, uko njema sana hasa kipengere cha irony.
yani mi pia maana....!
hivi kushoboka kumbe ni kupiga picha na watu eenh?
No wonder i didnt know... huhuhuuuu!