luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
Wadau leo nilibahatika kumsikia Mzee ktk mahojiano yake na Salama. Ktk kipindi kile nili note kauli mbili ambazo zimenifanya nibadilishe mtazamo kuhusu uislamu na baadhi ya vitu.
1. Kumbe nyama ya Nguruwe sio haramu, ktk uislamu muumin anaruhusiwa Kula kitimoto endapo hamna kitu Cha Kula .....hapa nimepata jawabu coz Kuna jamaa mmoja alibadili din toka ukristo kwenda uislamu ila jamaa anaendelea Kula kitimoto. Nimegundua huenda jamaa ameshauriwa asitumie nyama nyekundu hivyo anakula nyama nyeupe Kama mbadalaa
Hii sijui imekaa sawa kwa huyu ndugu yetu.
2 ktk mahojiano Yale Mzee alitoa kauli ambayo mpaka sasa Bado naona ni Tata Sanaa
Alisema, ww Kama muislamu ikatokea wakati unakula chakula then ukapaliwa na tonge kooni Kisha hamna maji ya kunywa lkn karibu ipo chupa ya wiski ...Basi unapaswa unywe wiski kwasababu uislamu hauruhusu mtu kujiua
Aiseee izi kauli mbili ni kitu kipya sanaaa kwa upande wangu kimtazamo