Kumbe Nguruwe sio haramu

Huyo Mzee anainua dini sawa sawa. Anastahili kuitwa mwanazuoni msomi wa PhD
 
Ah sawa shekh
 
Sasa nisipo mla nguruwe nani atakula? Wacha tuendelee kula nguruwe na bia tuu
 

Naomba tu nikushauri kuwa ukitaka kuujua Uislam, soma Quran na fuatilia visa vya mitume, usifate watu wanaojiita ni Waislam kama reference ya Elimu ya Uislam kwani kuna kundi kubwa lisilo kuwa na Elimu ya Kiislam pamoja kujiita ni waislamu na kwa bahati mbaya huwezi kuwatofautisha.
Suala la kumchukulia mzee wa Taarabu kuwa ndiye reference ya Uislam, sio sawa kwani tayari ameonesha udhaifu wa kutoa mada na kushindwa kuielezea na hivyo kuleta mkanganganyiko.
Kuhusu Nguruwe kama ulivyo ambiwa ni red meat tena ni moja ya Nyama ambayo imekatazwa kutokatana na madhara yake mengi kwa afya ya binadamu...(hilo ni somo tofauti). White meat zinapatikana kwa kuku, samaki nk

Natoa tu angalizo kuwa Quran sio story book ya kusimulia watu ili wafurahie kama mashairi ya Nyimbo nk
Kile ni Kitabu KITAKATIFU hivyo ni vizuri kiheshimiwe na anaye toa hoja kwa kurefer Quran awe na Eimu ya kutosha kuhusu anachotaka kukiongelea!
 
Ngoja nikuulize swali...

Ikatokea upo pahala mazingira ambayo ni magumu kupata chakula (hamna chakula kabisa) lkn Kuna nyama ya Nguruwe Je utabaki na njaa mpaka kufa au utakua kitowewo Cha nguruwe
 
Ngoja nikuulize swali...

Ikatokea upo pahala mazingira ambayo ni magumu kupata chakula (hamna chakula kabisa) lkn Kuna nyama ya Nguruwe Je utabaki na njaa mpaka kufa au utakua kitowewo Cha nguruwe
tumeambiwa hivi, kama ikitokea hakuna option yeyote ya kunusuru uhai sababu ya njaa, chochote kitakachopatikana cha kusaidia kunusuru uhai wa mtu kwa kipindi hicho kinaweza kutumika kwa wakati huo pekee; LAKINI HII HAINA MAANA KUWA TUMEHALALISHIWA KULA KILA KITU

Hii ni sawa na dawa mbali mbali mf: C16H13ClN2O (zinaweza kuwa za kulevya - haramu) lakini zikaweza tumika kwenye matibabu flani flani; Haina maana kuwa Zimehalalishwa!
 
Kakupanga umepangika usikuta hata hela umetoa eeh kisha akasema ukishakula...
 
Basi jobu lako mbona no sawa tu na la mzee ila shida ni ww unaleta uhasamaa ya kutaka kupinga Jambo kisa tu kalisema mzee
 
Imani hizi kuna waumini wamekatazwa kunywa chai ya rangi, kunywa pepsi na Coka Cola
 
Basi jobu lako mbona no sawa tu na la mzee ila shida ni ww unaleta uhasamaa ya kutaka kupinga Jambo kisa tu kalisema mzee
Ukisema Nguruwe unapotosha kwa sababu Quran haijasema Nguruwe; na huo ndio udhaifu wa mtu kuelezea kitu asichokuwa na Elimu ya kutosha hivyo anataja kile anachofikiri kitafurahisha washabiki wake
Ina maana hapo mwingine ataibuka ataje Simba, mwingine Kima, mwingine Chui, Kobe, nyoka nk. Elimu haitolewi hivyo ni upotoshaji!
Yeye ajikite kwenye mambo yake ya Taarabu alikobobea!
 
Kwani mzee wa dini hairuhusu " kiba" kasemaje kuhusu hilo??
 
Usile kitimoto mpaka ukose chakula kabisa ndio maana ya endapo na usinywe bia mpaka maji yasiwepp
 
Mambo ya waislam tuwaachie waislam.
Sisi tuendelee kula nyama yenye Bei kubwa kuliko zote
 
Kuna vitu uwa havisubiri hukumu.
Uwe muimba mziki ,urudi MSIKITINI uwe sheikh uende makka ukahiji alafu baada unarudi Tena kwenye muziki?
labda arudi Tena MSIKITINI kabla hajafariki Ila huyo ni TAPELI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…