Maadili ya kazi hayazingatiwi,kwa vyeo vya kijeshi ni rahisi kukosea lakini si u dr ambao hujui hata kama anao.Ila na vyombo vyetu vya habari havipo makini, juzi wakati wa kumuaga Lt.Gen. Mayunga mwandishi wa ITV alimtamka kama Luteni Kanali zaidi ya maramoja na wala hawakushtuka.