Kumbe ni kweli kuwa zembwera ni kilaza!! Hata hili 2 hajui!

Kumbe ni kweli kuwa zembwera ni kilaza!! Hata hili 2 hajui!

Mi tokea aondoke Musa na Anna hicho kipindi sikisikilizagi tena!! Zembela na Michael Baruti wote ni vilaza.
MP.
 
nakubaliana na wale wadau wa jf waliokuwa wanadai kuwa mtangazaji wa east africa radio maarufu kama zembwera ktk kipindi cha super mix, ni kilaza kwani hajui hata vipimo vya urefu!juzi anasema alishuhudia mtoto amegongwa na gari na kuburuzwa umbali wa kilomita 150!!na hakufa! Sawa na urefu wa viwanja vi 5 vya mpira wa miguu!!hivi viwanja viko dunia ipi? Vyenye urefu huu!tena anarudia rudia kwa msisitizo,kuonyesha kuwa anajua kile anachoongea,na hata huyo mtangazaji mwenzake michael baruti kumsahihisha hamna!jamani hata ile kanuni ya darasa la 4 ya mimi sili dagaa maana dagaa huleta kichaa,ilimpita kushoto!kwa watangazaji hawa bado kuna safari ndefu.

150kms ~ viwanja vitano vya mpira hii ni hatari, halafu mtu agongwe aburuzwe asife!!! Kama mimi ni muajiri namfuta kazi kwa kuaibisha station yangu na uzurusi wake.
 
150kms ~ viwanja vitano vya mpira hii ni hatari, halafu mtu agongwe aburuzwe asife!!! Kama mimi ni muajiri namfuta kazi kwa kuaibisha station yangu na uzurusi wake.

huyo muajiri atajuaje wakati yeye mwenyewe radio hasikilizi?
 
Kofia Huuzwa Dukwani Mwa Daudi Senti Miamoja. Na hii pia holaaa
 
Back
Top Bottom