mwangalingimungu
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 1,301
- 733
Nakubaliana sana nawe. Ina maana mtoa mada anachukia bendera ya Taifa? Akipita mashambani anafumba macho? Hatumii mchuzi ulioungwa kwa binzari? Hapendi mapambo ya dhahabu? ........ Maana yote hayo yanaambatana na rangi za kijani na manjano!Tuelewe pia kuwa,ushabiki,uana chama,hautokani na rangi zinazo tumika,isipokuwa unatokana na imani,sera,mifumo,tanzania bado tupo nyuma sana tunajenga imani zetu kwenye rangi,ambayo haina maana yoyote kama ni utambulisho tuna nembo