Kumbe ni Uongo, Uzushi, Fitna, Majungu, Wivu na Kijicho dhidi ya mafanikio yake! Makonda wapuuze

Paschal umeniangusha kama Makonda alivyomwangusha aliyemteua.
Umekuwa ni mtu wangu kwa siku nyingi, lakini sasa unapoteza sifa hiyo. Of course I am nothing pia lakini count not on me kama mawazo yako yako hivyo. Kwa nini?
- Unawalaumu wanaojaza servers zetu kwa wewe mwenyewe kuzijaza?!
- Unaamini Makonda anaweza kukaa kimya na akachapa kazi ikaenda tena? Nafuu ungeshauri
aombe uhamisho, lakini kufanya kazi DSM kwa mafanikio sahau. Sheria tu na nguvu ya dola haimfanyi kiongozi kuwa effective. Nguvu ya ushawishi (influence) na kuaminika ndizo kuu za effective leader.

Sasa tuna soda inaitwa Bashite; sifuri inaitwa Bashite, nyie wasukuma sasa mnawekwa kikapu kimoja kuwa mnatoka Kolomije, etc. Na nimjuavyo, akikubaliana na ushauri wako, kazi yake itakuwa ni kufukuzana na watu kwenye mitandao badala ya kufanya kazi za maendeleo.

Umeniangusha Paschal
 
kumekua na malalamiko mengi bila ushahidi wa 100% kuhusu uhalali halisi wa vyeti vya Daud, je iwapo mkuu wake akiamua kuziba masikio na kumpandisha cheo hata awe waziri wa wizara fulani.....nan atabisha? je hii mijadala ya huku itasaidia kitu? kashfa hii ni kubwa sana na imetia doa serikali ya awamu hii je mbona watawala wako kimya? wana maana gani?? najiuliza....lini watasema chochote?
mwisho kabisa unahisi anaweza kutenguliwa katika nafasi yake? na akitenguliwa katika nafasi vip kuhusu kosa la jinai la kutumia cheti cha mtu? mahakama itahusika? ukimya unamaanisha nin???
 
Utumwa wa fikra huo.....

Wapo waliokwenda kwa wazazi wao na kuwahoji ... majibu yapo.

Kijijini kwao sio mbali, tulioko jijini Mwanza tumeishapewa ukweli wa kila kitu ...

Muulize kama hawafahamu akina Poneja ... wanamfahamu vizuri sana hata yeye anajua hilo.

Kama unataka akujali kwenye maslahi yako binafsi useme ila hatutaki uongo hapa JF.
Umeua mkuu
 
kwa ju
mi nkajua umetuletea vyeti kumbe hamnazo pumbafu..ni upuuzi kajipange upya.aaalaaaa
kwa jinsi alivyo MAKONDA jambo hili lingekuwa la uzushi angeshakanusha kupitia kwa washikaji zake pale mawingu (Clouds) lakini hili ameshikwa papaya ni kesi ya jinai hiyo na kwa mujibu wa hotuba ya mkuu wa kaya juu ya masuala ya vyeti haliepukiki!!!!!!
 
Itajionesha hata ule utumbuaji haukuwa na maana ya kusafisha serikali bali kusimika "friends" wa mkulu
 
wewe unatuambia nini kama hao waliomzulia tayari wamefata huo mtiririko unaoutaka .labda tu afate ushauribakae kimya
 
Wewe ni mwandishi wa habari sawa lakini wa level ya chini sana,kama Tanzania inategemea waandishi kama wewe basi tumekwisha
Habari unazohangaika nazo kila kukicha zinasaidia nini nchi yetu kama sio kukuonyesha udhaifu wako wa umbeya,achana na hizo habari hazitusaidii tena
Utamuona mwandishi bora pale tu
Atamsema Mbowe kiboko yao
Au mbowe si mkwepa kodi!!
Nchi imevamiwa na vizazi vya hovyo kabisa
 
Paschal umeniangusha kama Makonda alivyomwangusha aliyemteua.
Umekuwa ni mtu wangu kwa siku nyingi, lakini sasa unapoteza sifa hiyo. Of course I am nothing pia lakini count not on me kama mawazo yako yako hivyo. Kwa nini?
- Unawalaumu wanaojaza servers zetu kwa wewe mwenyewe kuzijaza?!
- Unaamini Makonda anaweza kukaa kimya na akachapa kazi ikaenda tena? Nafuu ungeshauri
aombe uhamisho, lakini kufanya kazi DSM kwa mafanikio sahau. Sheria tu na nguvu ya dola haimfanyi kiongozi kuwa effective. Nguvu ya ushawishi (influence) na kuaminika ndizo kuu za effective leader.

Sasa tuna soda inaitwa Bashite; sifuri inaitwa Bashite, nyie wasukuma sasa mnawekwa kikapu kimoja kuwa mnatoka Kolomije, etc. Na nimjuavyo, akikubaliana na ushauri wako, kazi yake itakuwa ni kufukuzana na watu kwenye mitandao badala ya kufanya kazi za maendeleo.

Umeniangusha Paschal
Rafiki yake Pasco mayala kashindwa kuficha njaa yake kaamua kuchukua vicent vya GSM kajitoa fahamu ni aibu kubwa watanzania wengi wataanza kumdharau kama Le-mutuz.
 
Hili linafahamika
Hii ni vita kwa Makonda na Serikali inayo ongozwa na Jpm
Kiukweli Hawa wauza madawa ni watu wabaya sana
 
Mbowe, Manji, Gwajima, Wema n. k walipotuhumiwa hizo investigation zilifanywa au alikurupuka na kama x
Zilifanywa Mbona hakuna ushahid unaothibitisha ww Leo unapotuambia tufate process zote hizo Mara uhamiaj, Mara Ushirika n. k kisa nn, Mbona wale walitajwa tu pasina na uthibitisho wa Aina yoyote, hata mjinga asiyejua ataelewa nn kinaendelea, haiwezekan umshike mtu na tuhuma za madawa ya kulevya Halafu anakwambia fanya kwanza uchunguz ukinikuta na kipande cha sigara niambie ni madawa ya kulevya, mtu anasema hayo kwa kuwa anajiamin Labda umbambikie tu, ndio utamweza vinginevyo ni kaz BURE unafanya, narud kwako mwandishi. Huwa nakuambia ndugu yang Mayalla Siku ikithibitika tuhuma hizi ni za kwel utarud kutuambia nn jukwaan
 
Rafiki yake Pasco mayala kashindwa kuficha njaa yake kaamua kuchukua vicent vya GSM kajitoa fahamu ni aibu kubwa watanzania wengi wataanza kumdharau kama Le-mutuz.
Hampendi ukweli
Sikuzote ukweli unanguvu yake
 
Wanabodi.
Declaration of interest, mimi ni mwandishi wa habari wa kujitegemea mwenye uwezo na uzoefu wa muda mrefu kwenye newsroom hivyo kuweza Kufanya habari yoyote ya kiuchunguzi, ila kwa vile najitegemea nimeamua kujikita katika habari za kimaendeleo, developmental news zenye impact kwa maendeleo ya taifa. Hivyo siwezi kufutilia habari yoyote ambayo haina maslahi chanya kwa taifa.

Tangu kuibuka kwa Tuhuma za Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kughushi vyeti, savers za JF zimezidi kujazwa kwa ma thread na mathread kuhusu sakata hili.

Hata mimi niliwahi kumshinikiza Makonda ajitokeze kukanusha kwa hoja kuwa Uongo ulisemwa sana, bila kukanushwa haweza kugeuka ni ukweli.

Kiukweli uongo siku zote utabaki kuwa ni uongo tuu hata ukisemwa vipi au mara ngapi, hauwezi kugeuka ukweli.

Na ukweli siku zote utabaki kuwa ni ukweli hata usiposemwa. Ukituhumiwa kwa tuhuma zozote za uongo au kuzushiwa jambo baya lolote, as long as unajua ni uongo, huna haja ya kukanusha, wewe jinyamazie tuu kimya, ule msemo wa "tell the truth and the truth will set you free" ni msemo wa uongo, just keep the truth and the truth will remain the truth.

Sasa Tangu kuibuliwa kwa tuhuma hizi za Makonda kughushi vyeti na kutumia majina bandia, nimekuja kugundua kuwa kumbe tuhuma hizi na shutuma zote ni uongo mtupu, ni za uzushi tuu kutaka kumfanyia fitna kwa kumpiga majungu, zinazazushwa na watu wenye wivu na kumuonea kijicho dhidi ya mafanikio yake lima Isha na jinsi alivyoshinda vita hii ya madawa ya kulevya kwa muda mfupi.

Wito wangu kwa Makonda ni kuendelea kutulia hivyo hivyo, kwa kunyamaza, usijibu kitu, just keep calm, endelea kuchapa kazi kwa sababu hawa watu watakusema mchana na usiku watalala, kesho yake wateandelea kusema, watasema wee, watasema wee mwisho watachoka.

Kanuni ya tuhuma zozote kwa kawaida ni "he who alleges must prove" waache waendelee kujifurahisha kwa kujaza severs za JF.

Yote yanayosemwa kuhusu Makonda Kumbe ni Uongo, Uzushi, Fitna, Majungu, Wivu na Kijicho Dhidi ya Mafanikio Yake!. Tuwapuuze! .

Na huu ni wito wangu kwa wazushi hawa, msiendelee kutujazia severs zetu. Kama tuhuma zenu zinaukweli wowote, kwanini mpaka leo mmeshindwa kuzithibitisha?!.

Ningeamua kufanya investigative piece ya hii story lakini...
1. Hakuna hata mtu mmoja aliyekwenda kijiji cha Kolomije kuuliza majina ya wazazi wa Paul Cristian Makonda kama hayo yao na kuuliza jina la mtoto wao wa pekee kama kweli ni Paul Christian Makonda?. Pia watawauliza wazazi wao Paul alizaliwa lini alipewa majina gani, alikulia wapi, alibatizwa wapi, alibatizwa wapi kws majina gani, aliandikishwa darasa la lini, shule gani kwa majina gani, katika simulizi hiyo ya wazazi wake, kusipoibuka majina ya Daudi Albert Bashite, wanaweza kuwauliza wazazi wake kama wanajua lolote kuhusiana na majina ya Daudi Albert Bashite.

Baada ya kupata taarifa hizo, hizo zinakuwa ni primary sources, ukitoka hapo unazitafutia collaborative sources za majirani hapo kijijini ku verfy taarifa za wazazi wake.

2. Hatua ya pili ni kuripoti shule ya Kolomije si bado ipo, wameshindwa nini kwenda kuwauliza jina la huyo mwanafunzi Paul Chirtian Makonda waliotajiwa na wazazi wake kisha wamuulizie na Daudi Albert Bashite aliandikishwa lini alimaliza lini na kwa majina gani na kama alifaulu au alifeli.

3. Baada ya hapo ni kwenda Shule ya Sekondari ya Pamba na kuulizia mwafunzi aliyefeli shule ya msingi, amewezaje kuingia Sekondari ya serekali. Kisha waulizie kuhusu mwafunzi Paul Christian Makonda na Daudi Albert Bashite walijiunga lini kwa majina yapi, wakamaliza lini na matokeo yao ni yapi.

4. Unakwenda chuo cha uvuvi Nyegezi unapata details na documentary evidence ya jina la Paul Christian Makonda alilojisajili na vyeti alivyo wasilisha wakati alijiunga na vyeti alivyo hitimu. Hapo Nyegezi ukikuta majina tofauti ya shule na vyeti, unafanya back to back ya shule ulizokuta na kuzipitia ku verfy Paul Christian Makonda alisoma hapo.
5. Unaripoti Mbegani unapata details za Paul Christian Makonda na documentary evidence ya majina aliyotumia kujiunga na vyeti aliyotumia na vyeti vya kuhitimu.

6. Unaripoti chuo cha Ushirika you do the same.
Mkumbuke hizo info zote ni public info ambazo ziko freely accessible. Kama Kuna any discrepancies zozote za majina kwenye hivyo vyeti kati ya Paul Christian Makonda na Daudi Albert Bashite then una launch secondary investigation kwa kuandika barua kutumia kipengele cha sheria ya "the right to information act ku access protected info kutaka

7.Vizazi na vifo alipozaliwa aliandikishwaje? .

8. Idara ya Uhamiaji ina file la DN Number alipoomba passport aliwasilisha nyaraka gani na za wazazi wake zikiwemo affidavits zao.

9. Unakwenda mamlaka yake ya ajira kuangalia aliwasilisha vyeti gani

10. Unamkabili Paul Makonda mwenyewe na vielelezo vyote kuthibitisha yeye ni Daudi Albert Bashite bila kusema kuwa ni mwizi wa jina wala amefanya forgery or fraud. Unamtupia mezani kwake na kumpa kamba ama ajinyonge yeye mwenyewe ama ajinasue.

Hata Makonda akigoma kutoa ushirikiano, you have facts to go on with the story with or without Makonda's imput. Kazi ya mwandishi ni kuwalisha facts only hivyo unaibuka na big headline "Uthibitisho Paul Chritian Makonda ndiye Daudi Albert Bashite " huku umetutundikia hizo evidence.

Kinyume cha hapo sisi akina Tomaso wote tunaendelea kuamini kuwa kumbe tuhuma zote hizi dhidi ya Makonda ni Uongo, Uzushi, Fitna, Majungu, Wivu na Kijicho Dhidi ya Mafanikio Yake!.

Uthibitisho wa uzushi ni huu ukweli bayana uliopo hadi sasa kuwa Mhe. Paul Christian Makondo ni mteule wa rais wa JMT aliyefanyiwa vetting na vyombo husika na kuthibitisha pasipo shaka wasifu wake hivyo akateuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam na mpaka sasa huu ndio ukweli bayana na halisi uliopo. Kati ya wazushi hawa na rais wetu aliyemwamini na kumteua nani mkweli? . Mkweli ni Rais, Mhe. John Pombe Joseph Magufuli ndio maana katulia tuu nyie endeleeni kupiga kelele.

Watanzania tupunguze kushadadia uzushi, tujiunge na rais wetu kumtia moyo Mkuu wetu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda endelea kuchapa kazi, na sisi wengine wote katika umoja wetu, tuwapuuze kabisa watu hawa wasiolitakia mema taifa letu.

Nawatakia Jumatano Njema ya Majivu, leo ni siku ya kufunga kwa sisi Wakristo Wakatoliki, tunaanza mfungo wa siku 40 za Kwaresma.
Kwaresma Njema
Paskali
Ww kweli ni mwandishi wa kujitegemea maana sio kwa POVU hilo NJAA hizo ulizonazo sema nn kaka hapa Dar utakuja kuolewa
 
Very few thinkers have understood your post. Nakupa pole sana. What does it mean? That there are very few great thinkers in JF
 
e9b4f2bbc1422ce3ee20097e51285b62.jpg
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nimekuelewa vizuri...wenye upeo mdogo wanafikiri umemtetea kumbe umechochea moto soo lake
Mkuu Bitoz,yaani nacheka huku nina uchungu sana kwa kuona jinsi watu tunavyoshindwa kusoma katikati ya mistari. Kongole kwako. Kongole kwa Paskali Mayala.
Satire.......
 
Hakuna atakayeshangaa maana ni chapa ng'ombe hakuna cha ajabu.
 
Back
Top Bottom