Kumbe ni Uongo, Uzushi, Fitna, Majungu, Wivu na Kijicho dhidi ya mafanikio yake! Makonda wapuuze

Hiyo wanasema "Mvuna janga,hula na wa kwao" kwa hiyo ngosha kuleni hilo janga la ndugu yenu lakini hata kipozeo chake kinajiita mama Daudi....hayo mengine kayatafute wewe!
 
Mayala njaa imemfanya ajitoe fahamu kabsa pengine atapata chochote maana siku za karibuni alikuwa kazeeka kwa njaa, kaamua kutumia fursa
 
Msomaji anahitaji kusoma between the.lines ili akuelewe.wengi wanaishia kuyakosa maudhui yako.
 
umenisikitisha sana.kutokana na hiyo heading ya thread yako nilitarajia umefanya hiyo investigative reporting ili ujiridhishe na hii issue.
Pasco yule sio huyu wa sasa,hasa tangu siku ile ulipoambiwa maana ya jina lako ni NJAA.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji12] [emoji12]
 
Wengi tunekwena kwa maneno ya kusikia tu yaani kama jamaa alipata zero mbona matokeo yake watu wameshindwa kabisa kuyaweka ubaoni.mbona matokeo ya ole mliyaweka wazi kabisa
 
Mayalla,
Nilidhani umekuja na ushahidi.
Kumbe na wewe umekuja na tuhuma kama za hao mabwana?
 

Huyo hana sifa za uandishi wa habari huyo ni presenter tu wa kipindi.
 
Mkuu kma umeenda mpaka kijijini kwao ni vema ndo utuletee ushahidi sasa blah blah hatutaki kusikia lete ushahidi
 
Wewe P unakuwa kama mgeni na nchi hii, figisu zilizopo nchi hii yatakukuta ya Wema Sepetu ooooohoooo. Acha anayechafuliwa ajisafishe
 
Mbona makonda alikurupuka na list pasipo kufanya utafiti matokeo yake wengi wamekutwa hawana hatia, Utetezi juu ya Daudi watanzania wengi wanajua kuwa Wajanja wanatumia fursa hivyo hata akitetewa na Tramp hawawezi kumwamini makonda milele, Msema kweli ni mpenzi wa Mungu mwenyewe yupo kiimya anabuni sinema ya kulitumia neno hilo kwa makonda.
 
Pascal "njaa mbaya" kuna uhusiano gani kati ya maendeleo na tuhuma za makondakta kutumia vya visivyo vyake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…