Kumbe ni Uongo, Uzushi, Fitna, Majungu, Wivu na Kijicho dhidi ya mafanikio yake! Makonda wapuuze

Asante mkuu ... kwa heshima yako pia mkuu wa nchi ataamua kusitisha kabisa zoezi la uhakiki wa vyeti kwa sababu ni upuuzi tena usio na maana wala tija yeyote kwa maendeleo ya taifa .... Ila

Bashite kashikwa pabaya ...!!!
 
Unazingua toa ww uhakia bas kama umeona chet chake cha form four.utajiteteaje watu wameshajua ukweli
 
Dah!!Uandishi ni tasnia ya ajabu sana!!Mpaka ujue mwandishi kaandika nini ni uelewa wako............asante Pascal Mayalla kwa hiyo umeamua kumalizia namna hii?tungo tata!
 
Kanuni ya tuhuma zozote kwa kawaida ni "he who alleges must prove" waache waendelee kujifurahisha kwa kujaza severs za JF.
Kwa maneno yako haya Makonda alipowatuhumu watuhumiwa wa Madawa ya kulevya na kuwatangaza hadharani pasipokuwa na uthibitisho wowote Kama watu hao wanajihusisha na madawa ya kulevya ulitoa ushauri gani kwa Makonda?.
 
Waandishi wa kiwango cha juu ni akina nani?. Ni wale wanao andika tu Makonda kafoji vyetu alafu basi?.
 


Ni andiko zuri sana ila ni wachache tunaokuelewa. Hii style yako ya kuchokoza critical thinking in a very indirect manner utakuwa unaaacha wasomaji wengi katika vumbi la mkanganyiko kuhusu maudhui wa mabandiko yako.

Lakini angalau una uthubutu. Tunashukuru kuwa na waandishi kama wewe.
 
Asante mkuu ... kwa heshima yako pia mkuu wa nchi ataamua kusitisha kabisa zoezi la uhakiki wa vyeti kwa sababu ni upuuzi tena usio na maana wala tija yeyote kwa maendeleo ya taifa .... Ila

Bashite kashikwa pabaya ...!!!
Safari hii Nchi itashuhudia Vioja, waziri wa Elimu yupo kiimya anaogopa kutia neno asije kutumbuliwa jipu maana makonda ni makamu wa Rais.
 
Dah kama wewe ni mwandishi wa habari mwenye heshima zake unakuja na habari hizi na utetezi wa kuendelea kutujazia server tu, kwakweli taaluma ya habari nchi hii haifai kabisa, ungekuja na vyeti ukafanya kuattach hapa wala usingetokwa na povu kama hili kutuandikia gazeti zima,
Utetezi wako na le mutuz unadhani una tofauti?
 
Waandishi wa kiwango cha juu ni akina nani?. Ni wale wanao andika tu Makonda kafoji vyetu alafu basi?.
Kama mayala ni Mwandishi wa kiwango cha juu basi anayepima Uandishi na viwango vyao na yy achunguzwe vyeti vyake kwani Mwandishi wa kiwango cha juu hawana Njaa kama za Pasco.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…