Kumbe nilitakiwa kupiga hodi eh

Kumbe nilitakiwa kupiga hodi eh

Hodi humu jf. Nimeranda sana jf kama visitor, nimeona nami nijiunge ili nitoe michango. Nimevutiwa sana na hoja, vituko vya wafuatao
Miss chaga, masai dada, nifah, ms lincolin, the Boss, matola, mchiwa ng'ambaku, diva beyonce, lukelo sakafu na matenene.

Huwa nafurahishwa na hoja na ubishi wao katika kusimamia vile wanavyoamini.
 
W unatokea wapi ili iwe rahisi kukuelekeza
Mi nipo hapa mara wengine wanasema Kariakoo mara wengine wanasema shule ya uhuru mara wengine wanasema Msimbazi... yaani nimechanganyikiwaje! Kweli tena swtybby nahitaji kufika kwenu sema ndo n'shakwama hivyo!
 
Last edited by a moderator:

Daa!me nkaa h mitaa ya kna mangwer
 
Last edited by a moderator:
Hodi humu jf. Nimeranda sana jf kama visitor, nimeona nami nijiunge ili nitoe michango. Nimevutiwa sana na hoja, vituko vya wafuatao
Miss chaga, masai dada, nifah, ms lincolin, the Boss, matola, mchiwa ng'ambaku, diva beyonce, lukelo sakafu na matenene.

Huwa nafurahishwa na hoja na ubishi wao katika kusimamia vile wanavyoamini.

Karibu sana jamvini
 
Back
Top Bottom