Lucchese DeCavalcante
JF-Expert Member
- Jan 10, 2009
- 5,471
- 752
Hivi karibuni nimekuwa nikifuatilia tamthilia mwanana ya India a Love Story kikautana na neno "chai" likitumika sana nikagundua kumbe hata sie waswahili tumetohoa toka kwa wenzetu wa India... Soma zaidi kuhusu Chai Masala
Hata wao walitohoa kutoka kwenye kichina (Tcha)
Wachina ndio walio tohoa na si Wahindi.Hata wao walitohoa kutoka kwenye kichina (Tcha)
Mbona maneno mengi tu tumetohoa kutoa India...!Hivi karibuni nimekuwa nikifuatilia tamthilia mwanana ya India a Love Story kikautana na neno "chai" likitumika sana nikagundua kumbe hata sie waswahili tumetohoa toka kwa wenzetu wa India... Soma zaidi kuhusu Chai Masala
Wachina ndio walio tohoa na si Wahindi.
Ni kweli maneno yako...!Ndio, inawezekana. Maana nchi zenyewe ni majirani.
Hata hivyo tafiti nyingi za kisayansi kuhusu Tea (Camellia sinensis) zinaelemea zaidi kwa Uchina kama "origin" of Tea.
Hata hivyo cha muhimu ni kukubali kuwa lugha yoyote lazima itachukua maneno kutoka kwenye lugha zingine. Na haimaanishi kwamba lugha inapokuwa ina maneno ya kuazima basi si ya muhimu, na kwamba labda ile lugha ambayo ndio asili ya maneno mengine ya lugha zingine basi ni bora zaidi. Kwa jamii yetu ya kiTZ pamoja na kwamba lugha yetu ya kiswahili ni changa na ni mchanyato wa lugha zingine, bado ni lugha bora kwa jamii yetu. Kama ambavyo kifilipino ni bora kwa wafilipino kuliko lugha zingine.