Kwa kiutafuti changu ktk mazingira yaliyo ni zunguka na story za kitaa. Nimegundua nyumba ndogo nyingi sana zinatamani maisha ya ndoa.
Kuna mademu kama wanne nawajua. Kuna mmoja alikuwaga mwandishi wa habari, huyu mdada alizaa na mzee mmoja anafanya kazi UN.Dada ana shape la maana,mzee anagharamia kila kitu, mtoto anasoma shule nzuri, ila naona baadae mzee akasitisha mahusiano. Mtaani akahamia jamaa mmoja ,ambaye alikuwa anaishi kisela japo umri umeenda mwamba akaingia na gia za kuoa, dada kajaa wakawa kama mapacha ,mwana kamwaidi ahadi kibao .Baadae alimfanyia kitu kibaya alihama bila hata kumjulisha, demu alikuwa mkoani kikazi,dada wa watu alichanganyikiwa.
Huyu mwengine alipangiwa kwenye nyumba ambaye,nina mwanangu tulikuwa tuna kibenchi chetu tunapiga story kipindi nipo A-level.Kama kawa dada naye figure la maana, mzee wake kila Ijumaa analeta mzagazaga kibao.Sasa kuna mwana wale wazee wa kuulamba wale hata wakivaa boksa wanachomea,mwana akaingia na gia za kuoa mixer kumtambulisha kwa mama yake. Kanisani kila jumapili wapo pamoja. Mwana alimvyo mzalisha kampiga chini dada wa watu.
Haijaputa mda tena kuna demu wa kichaga duka limejaa naye kazalishwa ,ila kuna dokta akawa nyumba ndogo yake .Kuna mwana mmoja type zilezile wazee wa kuulamba,upanga wa suruali umenyooka kaingia kwa gia za kuoa demu akajaa na tena akawa anamuhonga jamaa,demu akajisahau akapigwa hela ndefu mpaka duka lilitikisika ,mwana akapotea.
Huyu wa nne nyumba babu yangu alivyopata kiinua mgongo akatafuta nyumba mdogo naye ambayo alikaa nayo kama miaka zaidi ya mitano, kuna jamaa mmoja analima mipunga akaingia kwa gia za kuoa ,bibi kajaa babu kapigwa kibuti, ila uzuri huyu kweli aliolewa.
Juzi kati nipo na mwana ananiambia kuna wateja wake kama watatu hivi nao ni nyumba ndogo, ambazo zina hamu sana na ndoa ila ndio hivyo wanakazwa na watu ambao wanasafisha rungu.
Nyumba ndogo nyingi zina stress nhamu ndoa na mara nyingi wanakuwa vyuma vya maana.Ila stress huanzaga wanapozalishwa na umri unvyoenda,ndio anahongwa hela ndefu na kupewa kila kitu, ila anajua akianza kuchuja anapigwa chini anakuja mwengine na ndio maana wahuni wengi gia yao ni kuoa, kumbe nao wapitaji.