Kumbe Odama ni kicheche wa kimyakimya

Hata mkeo ni kicheche wa chinichini we subiri kulea watoto wa wenzio.
 
Umetumwa kuja kumpa promo, au una issue zako binafsi?
 
Ukianza kufuatilia Baba wa Watoto utapata shida sana , unaweza jikuta hata wewe unaemwita Baba si Baba yako wa Kibaiologia ...... mumuache kuzaa ni MAJAALIWA :coffee:
 
unaficha mengi wapi si useme anafi(rwa) na pedeshee mmiliki wa bar ya ZAMBEZI riverside ubungo.

Afadhali umenisaidia kuanika tena uchafu wake mwingine,maana bila hivyo,humu kuna mandina wengi mno wasiojua kitu,nakupa big up sana mchizi wangu!
 
Huyu muandishi vp?!! Kuna wadada wangap wanazalia hom inamaana wote wamuiga uyo Odama? Kwanza c kitu kizur kuanza kumuongelea mtu na kumchafua eti kisa kazalia hom kwani ww dada zako wote na ndugu zako wote wamezaa wakiwa kene ndoa? Na si ajabu hata wewe mwenyewe umezaa nje ya ndoa stupid!

Kuwa na heshima hata kidogo sio kila mtu mnapenda tu kumchafua chafua bure jee huyo angelikuwa ni dadako kabisa ungeuleta humu utumbo wako.....shame on u
 

Acha hizo bana umbea wko humu hauna mashiko hujui tuu kuwa umewadhalilisha na wanawake wote waliozaa wakiwa bado mahome
 

Halafu wewe ni yusuf mlela,acha kukomment ushamba,odama ni kioo cha jamii,ndo maana tunamuandika,angekuwa dada yangu,wangeandika waandishi wengine kuhusu upuuz wake,we mshamba kabisa usiye na shule shame on your brain failure,nyambaf...
 
Kidumechambegu mbona you sounds like binamu warumi. Ni wewe binamu nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…