Kumbe Odama ni kicheche wa kimyakimya

Kumbe Odama ni kicheche wa kimyakimya

wiseboy.

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2014
Posts
2,932
Reaction score
4,544
Niliwahi kuambiwa zamani kuwa,wasanii huwa hawana tofauti na mabaamed kitabia nikawa siamini,sasa nimepata taarifa nzito za siri kuhusu Odama kuwa,pamoja na kutokuwa na skendo kwenye vyombo vya habari.

Kumbe amekuwa akifanya ukicheche kwa umakini wa hali ya juu sana, kiasi kwamba amefanikiwa kuzikwepa kwa muda mrefu sana setlait za magazeti ya udaku hadi akajikuta anatandikwa mimba na mume wa mtu, ndo maana huwa hataki kumuweka hadharani mwanaume aliyemsondeka mimba kwa hofu ya issue kubumburuka, si hivyo tu hata wasanii wenzake kama Yusuf Mlela na wengine. Odama alithubutu kuchojoa na kugawa papuchi bila hata ya kujionea huruma kuwa.

Yeye ni mtoto wa kike anayepaswa kujistiri ili aje kuolewa na kuzaa akiwa katika ndoa,na si kama alivyofanya kuzalia nyumbani then anaenda kupanga geto, hiyo ni tabia ya ajabu kabisa kufanywa na binti tena anayejulikana kama kioo cha jamii,hii ndo inapelekea mabinti wengi kuzalia nyumbani,"wacha nizae mbona hata odama alizalia nyumbani"? kisa wanamuona kwenye TV,so wanadhani yuko ok.
 
Jamani haya mambo ya kuchafua watu kwenye mitandao ya kijamii kwa style kama unalalamika kumbe unamchafua mtu hebu iacheni. Sasa hapa sikuelewi lengo lako hasa ni nini? Huyo msanii ni mtu mzima anaweza kujiamulia. Pia hujajua amezaa na nani badala yake uneleta simulizi za hekaya hapa. Ungekuwa mwanamke tungesema labda alitembea na mumeo ila ID yako unajiita kidume cha mbegu, sasa hii tabia ya umbea umeanza lini mbona unazidi hata kina mama wa saluni za mitaani? Hebu badilika bwana ulete hoja nyingine ya maendeleo usijadili watu.
 
Kitu chenyewe kapewa bure na mwenyeezi, we ulitaka akibanebane ili sie tukajipoze wapi? Unajiita KidumeChambegu siyo? Mbegu zako unamwagilia wapi kama unawasema wanawake namna hii, au ndo wale na wewe unamwagiwa??
 
Last edited by a moderator:
Inaumia nini akiitumia apendavyo?

Akitembea na mume wa mtu akamwagiwa maji ya moto ataungua yeye au wewe?

Mimba si anabeba mwenyewe mtu mzima na maamuzi yake? Au unaogopa atakuomba hela ya pampas? ??
 
Jamani haya mambo ya kuchafua watu kwenye mitandao ya kijamii kwa style kama unalalamika kumbe unamchafua mtu hebu iacheni. Sasa hapa sikuelewi lengo lako hasa ni nini? Huyo msanii ni mtu mzima anaweza kujiamulia. Pia hujajua amezaa na nani badala yake uneleta simulizi za hekaya hapa. Ungekuwa mwanamke tungesema labda alitembea na mumeo ila ID yako unajiita kidume cha mbegu, sasa hii tabia ya umbea umeanza lini mbona unazidi hata kina mama wa saluni za mitaani? Hebu badilika bwana ulete hoja nyingine ya maendeleo usijadili watu.

Mkuu,mie sijadili mtu,hili ni jukwaa la celebrities,ambamo tunapata habari mbalimbali za mastaa,nami nimetumia uhuru wangu wa kupasha habari nilionao kwa mujibu katiba,sina chuki na huyu binti,na hapa nimeficha mengi mazito yanayomhusu odama kwa kustiri tu hadhi yake ktk jamii,na si kumchafua kama wadau wengine humu wanavyodai.
 
Kitu chenyewe kapewa bure na mwenyeezi, we ulitaka akibanebane ili sie tukajipoze wapi? Unajiita KidumeChambegu siyo? Mbegu zako unamwagilia wapi kama unawasema wanawake namna hii, au ndo wale na wewe unamwagiwa??

Bro unakuwa mkali,tena unasema kuwa eti kwa nini aibanebane,ni dhahiri kabisa ni wewe uliyempa mimba binti huyu na kumharibia maisha yake,coz wewe una mke then you forsook being stranded into a great blindfolded dilemma in which she has no choice wherein to make her destiny,wewe ni mtu mbaya sana,mkipata vijisenti vidogo tu vya mboga mnakimbilia kudanganya wasanii,huo ni ulimbukeni wa kimaisha mlionao,jibu hoja siyo kunitukana,mzinzi mkubwa wewe usiye na shule!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom