Bizman ni mtaalam zaidi kwenye stringsNdio maana ya kua mtayarishaji bora wa muziki, lazima tushirikishane.. P funk alimtumia sana Bizman kwenye gitaa na kinanda
Sent using Jamii Forums mobile app
Majani nimemuelea kasema chief producer anaweza asitengeneze chochote zaidi ya kusema hapa mziki usimame hapa ianze verse hii au afanye na mastering. Katolea mfano wa band anasema band ikija studio wanakuwa washatengeneza midundo sometimes hata vyombo wanapiga wao lakini anayevinga na kuvimaster ndiye natambulika kama producer.Ngoma nyingi kafanya bizman Kama zeze..mtazamo n.k sijui kwanini majini alimbania jamaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee, kumbe jamaa ni mkali katika anga hizoSoggy Doggy Hunter anafanya vitu vingi kama unga wa NGANO hadi Ngoma za Kali P katengeneza yeye!
Kuna kipindi alikuwa ni Producer Bongo Recs.
Gwan ni neno la kijamaica linalomaanisha 'go on' ila mara nyingi hutumika kwenye sentensi fupi 'wa gwan' kumaanisha 'what is going on'.She got a gwan, ngoma kali sana hii.
Maana ya neno "she got a gwan" ni nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Gwan ni neno la kijamaica linalomaanisha 'go on' ila mara nyingi hutumika kwenye sentensi fupi 'wa gwan' kumaanisha 'what is going on'.
Mpaka anafariki dunia, Mangwea hakuwahi kutoa tafsiri ya alivyolitumia yeye kwenye wimbo wake.. Japo ukiamua kutumia akili za kuunga unga, utaelewa mantiki yake ilikuwa ni kumaanisha 'she got one' - yaani huyo demu amekamilika kwenye kila idara..
Naweza nisiwe sahihi.