Kama huyu LUDIGO alifanya ngoma nyingi sana za wagosi, ila nimejaribu kumtafuta kwenye mitandao nimemkosa kabisa aiseeeBeat nyingi mbona hatengenezi Majani, kuna Ludigo Bishota maarufu kama Professa Ludigo kafanya kazi kubwa mno, pia hao wengine wakiwemo.
Ndiyo hivyo ni mmiliki wa studio ndo maana sifa anabeba yeye
she got go on kiswazi tunasema she got gwanShe got a gwan mi nilidhani anamaanisha she got a gun kumbe nipo wrong sana
Sent using Jamii Forums mobile app
We could all be wrong here.. Lol..She got a gwan mi nilidhani anamaanisha she got a gun kumbe nipo wrong sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo ni credit kwenda kwa Mj au Majani kipindi anapiga kazi studio zao... Hata nyimbo ya Mikasi ya Ngwair, Akwelina ya OCG na Hao ya Joh Makini ni kazi zake ingawa credit haziendi kwake.Kama huyu LUDIGO alifanya ngoma nyingi sana za wagosi, ila nimejaribu kumtafuta kwenye mitandao nimemkosa kabisa aiseee
Sent using Jamii Forums mobile app
Umenikumbusha TUPAC ndani ya ME AND MY GIRLFRIEND afu mwanzo Mwisho anaisifu BundukiShe got a gwan mi nilidhani anamaanisha she got a gun kumbe nipo wrong sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Gwan ni neno la kijamaica linalomaanisha 'go on' ila mara nyingi hutumika kwenye sentensi fupi 'wa gwan' kumaanisha 'what is going on'.
Mpaka anafariki dunia, Mangwea hakuwahi kutoa tafsiri ya alivyolitumia yeye kwenye wimbo wake.. Japo ukiamua kutumia akili za kuunga unga, utaelewa mantiki yake ilikuwa ni kumaanisha 'she got one' - yaani huyo demu amekamilika kwenye kila idara..
Naweza nisiwe sahihi.
Niliwah kusikia interview moja Ngwair alihojiwa nini maana ya she got gwan,akasema kwa jinsi manzi alivyo mzuri bas she has to go on,yaan muache aende tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila ukisikia kwenye intavyuu zake anampaga mashavu sana Majani yeye hajitaji, nasikia hata kibanda cha simu beat alitengeneza yeye kwa asilimia kubwa ila credit zinaenda kwa MajaniSoggy Doggy Hunter anafanya vitu vingi kama unga wa NGANO hadi Ngoma za Kali P katengeneza yeye!
Kibanda Cha CM Mkono wake mwenye SOGI.Ila ukisikia kwenye intavyuu zake anampaga mashavu sana Majani yeye hajitaji, nasikia hata kibanda cha simu beat alitengeneza yeye kwa asilimia kubwa ila credit zinaenda kwa Majani
Sent using Jamii Forums mobile app
Gwan kwa tafsiri yangu kichwani ni ukali hasa wa umbo na sura la mwanamke kwa jinsi Ngwea alivyoimba. Mtoto mzuriiiShe got a gwan mi nilidhani anamaanisha she got a gun kumbe nipo wrong sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaujua muziki wewe!Gwan ni neno la kijamaica linalomaanisha 'go on' ila mara nyingi hutumika kwenye sentensi fupi 'wa gwan' kumaanisha 'what is going on'.
Mpaka anafariki dunia, Mangwea hakuwahi kutoa tafsiri ya alivyolitumia yeye kwenye wimbo wake.. Japo ukiamua kutumia akili za kuunga unga, utaelewa mantiki yake ilikuwa ni kumaanisha 'she got one' - yaani huyo demu amekamilika kwenye kila idara..
Naweza nisiwe sahihi.
Kiasi mkuu. Shukrani!Unaujua muziki wewe!
Uko vizuri sana ule wimbo, hauna kasoro kuanzia beats mpaka mashairi!Sijawahi kuuchoka huu wimbo uko poa beats na kila kitu
Hasa pale anaposema ..."nitomase zake chuchu..."Sijawahi kuuchoka huu wimbo uko poa beats na kila kitu