mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,441
- 431,885
Mkuu una macho darubiniMaziwa yashalala...wajanja washafanya yao sana
Tena wewe ndio unaonesha pang'ang'a kabisaUnakutana na unaofanana nao mkuu sasa usitujumuishe wote. Utakuta na wao wanasema wamekutana na mwanaume kama Remmy Ongala
Dah[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huyo ni wa kawaida tu. ila sema watu wengi macho yao yanamatege.
Ni kweliTena wewe ndio unaonesha pang'ang'a kabisa
Mie kwa ukali upi ndugu yangu. Na mie mbovu kama mademu wengine wa JF. Huoni mwenzio kasema sisi wanawake wa JF wachafu ntakuaje mkali na mie nipo kapu moja la wanawake wa JFHila nasikia mzigua mkali sana
Achana naye ana frustration zakeMie kwa ukali upi ndugu yangu. Na mie mbovu kama mademu wengine wa JF. Huoni mwenzio kasema sisi wanawake wa JF wachafu ntakuaje mkali na mie nipo kapu moja la wanawake wa JF
Wangu msafi nina uhakika huo, kwan kukutana na mwanamke lazma uwe umemtongoza?? Kuonana kwanza nikiona ana sura mbaya kama yako nampotzea tuuMbona hueleweki? Kwahiyo unawatongoza ukaimbe nao kwaya au? Halafu sisi sio wachafu embu tuheshimu kidogo. Huyo mwanamke wako unaemuona msafi kuna mtu anamuona mchafu vile vile. Jiheshimu
Jamaa inaelezwa huyu binti hapo pembeni ni mwanae, kwa mujibu wa Millard Ayo blog...basi jamaa alianza kwichkwich kitambo kidogo...🙁View attachment 712782
Mi nikiwa na sura mbaya demu wako sijui atakua mzuri kiasi gani.Wangu msafi nina uhakika huo, kwan kukutana na mwanamke lazma uwe umemtongoza?? Kuonana kwanza nikiona ana sura mbaya kama yako nampotzea tuu
Tunapenda lakin za mademu wazuri sio kama weweNyie mbona mnapenda papuchi zetu!??
Na anaemsababishia hizo frustrations atakua yuko humu maana hasiraAchana naye ana frustration zake
[emoji23] [emoji23] nyau wewee,.me unanijuaa??Tunapenda lakin za mademu wazuri sio kama wewe
Teh jf ukiichukulia serious utakufa muda sio wakoHapa nadhan patatokea vita kuu ya tatu ya dunia
Afadhaliii,..na sura lake kama kifaru cha jeshiHallelujah kapewa na ban akahangaike nalo.
Watu wa stress jamani. Haya kuja kutusema na sura zetu mbaya kwanini sasa. Bora mods wamempa ban akajitafakari kidogo.Afadhaliii,..na sura lake kama kifaru cha jeshi