Kumbe Papii kocha anaweza kuwa baba mkwe, hili toto lake

Kumbe Papii kocha anaweza kuwa baba mkwe, hili toto lake

Mbona hueleweki? Kwahiyo unawatongoza ukaimbe nao kwaya au? Halafu sisi sio wachafu embu tuheshimu kidogo. Huyo mwanamke wako unaemuona msafi kuna mtu anamuona mchafu vile vile. Jiheshimu
Wangu msafi nina uhakika huo, kwan kukutana na mwanamke lazma uwe umemtongoza?? Kuonana kwanza nikiona ana sura mbaya kama yako nampotzea tuu
 
Imebidi nimuangalie tena huyo mtoto. Ila uzuri wa mtu uko kwa mtu. Sio mbaya wala hana uzuri huo wa kutusimanga wanawake wa humu
 
Back
Top Bottom