Ndio hukuona kumbe.Heeee Kwan kawasimanga tena
Acc Insta anatumia jina gani mkuu japo tusuuze macho kuleNi kweli binti ake,niliona acc moja insta
MweeehHalafu mnakua mnaringa sana, utakuta demu mbaya unamtongoza kumuhurumia tuu nae apate mwanaume lakin et anakutolea nnje
Tena wewe ndio unaonesha pang'ang'a kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wakunyumba [emoji115][emoji115]Ni kweli
tupia tuone,usipotupia itakuwa kweli mna sura ngumu!Hahahaaha,..ngoja siku tutupie zetu og watu washindwe kufungua biashara zao...teh teh
Hahahahaaa. Wakunyumba sa ningejibu nini unadhani?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wakunyumba [emoji115][emoji115]
kwa hiyo diamond ndo kidume peke yake au vp??Diamond anajipendeaga vyeupee peee
Ahahahaha tatizo wamekariri watu wanaokutana nao wanaona kila mtu anafanana na wasira mfyuuuuHahahahaaa. Wakunyumba sa ningejibu nini unadhani?
Ndo shida hiyo. Ntatumw picha yangu mimi jamani tuwafunge midomo hawa.Ahahahaha tatizo wamekariri watu wanaokutana nao wanaona kila mtu anafanana na wasira mfyuuuu
Ahahaha watumie halaf sipati notification sijui jf wana mpango gani na mmNdo shida hiyo. Ntatumw picha yangu mimi jamani tuwafunge midomo hawa.
Hahahahaa.Ahahaha watumie halaf sipati notification sijui jf wana mpango gani na mm
Nimelisahau,mkuuAcc Insta anatumia jina gani mkuu japo tusuuze macho kule
Hahaha Point mkuu Hawa viumbe WA ajabu SanHalafu mnakua mnaringa sana, utakuta demu mbaya unamtongoza kumuhurumia tuu nae apate mwanaume lakin et anakutolea nnje
Tuma siunajiaminNdo shida hiyo. Ntatumw picha yangu mimi jamani tuwafunge midomo hawa.
Mmefanya fitina mpaka nimefungiwaWatu wa stress jamani. Haya kuja kutusema na sura zetu mbaya kwanini sasa. Bora mods wamempa ban akajitafakari kidogo.