Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
Usitusingizie mwenyewe maneno yako ya hovyo yalikufungisha. Huku tunatoa stress we unajipa stress mpaka unaanza kuongea maneno yasiyofaa mkuu na mods hawawezi kuvumilia mtu mzima kama wewe kujivua nguo hadharani ndo maana wakakupumzisha utulize hasira kwangu.Mmefanya fitina mpaka nimefungiwa
Karibu tena