Kumbe Papii kocha anaweza kuwa baba mkwe, hili toto lake

Mmefanya fitina mpaka nimefungiwa
Usitusingizie mwenyewe maneno yako ya hovyo yalikufungisha. Huku tunatoa stress we unajipa stress mpaka unaanza kuongea maneno yasiyofaa mkuu na mods hawawezi kuvumilia mtu mzima kama wewe kujivua nguo hadharani ndo maana wakakupumzisha utulize hasira kwangu.
Karibu tena
 
Minliongea maneno ya mtazamo wangu kwa uzoefu wangu wa hio jf, sasa mkanichangia hadi nikafungiwa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na wewe ulitunanga kwa maneno mabaya lakini.
 
Ada ya mja kunena, muungwana ni vitendo!
Sisi tuendelee kupayuka na kumsifia humu ila kuna waungwana wapo huko wanamtoa kufuli wasizojua hata bei yake na kumpa stahiki yake!
Wacha watu wamsaidie baba kulea
 
Back
Top Bottom