Ila huyo mjeda wa ccm lazma ajulikane
natamani kuwajua hawa vigogo
1.Pesa
2.halafu nasikia kitom.bo cha jamaa pale kati ni hatareeeeeee
Yeye mwenyewe si kaimba Kuchapiwa siri ya ndani? He he he ! Labda alikwisha jua wazee wa " kidumu chama T...." Wanajipumzisha mitaa ya kwake. Chezea kijani na njano wewe!
Mbona huyu Diamond hana sura ya kuvutia. Wanampendea nini?
Mbona huyu Diamond hana sura ya kuvutia. Wanampendea nini?
ngoja tusubiri watajwe tuwajue binamu....hahaha Binamu umenichekeshaje..........ngoja nikomee hapo basi
Post yako ni ya saa 01.05am na location ni Hell. Sishangai kwa wewe kupost hivi. Pole shetani.Sio laazima uchangie mada...
Alieimba kuchapiwa siri ya ndani sio Domo.
Nyie ndo huwa mnakurupuka chooni bila kuchamba.
Anae jua jina pls jamani,, umbea nusu nusu sio mzuri.
Mbona huyu Diamond hana sura ya kuvutia. Wanampendea nini?