Kumbe penny anatembea na kigogo wa ccm?

Kumbe penny anatembea na kigogo wa ccm?

Yeye mwenyewe si kaimba Kuchapiwa siri ya ndani? He he he ! Labda alikwisha jua wazee wa " kidumu chama T...." Wanajipumzisha mitaa ya kwake. Chezea kijani na njano wewe!


Sio laazima uchangie mada...
Alieimba kuchapiwa siri ya ndani sio Domo.
Nyie ndo huwa mnakurupuka chooni bila kuchamba.
 
Mbona huyu Diamond hana sura ya kuvutia. Wanampendea nini?

👏👏👏👏 inasemekana ana chale mpaka kwenye mapumbu, so unategemea nini?👌👌👌👌👌
 
Sio laazima uchangie mada...
Alieimba kuchapiwa siri ya ndani sio Domo.
Nyie ndo huwa mnakurupuka chooni bila kuchamba.
Post yako ni ya saa 01.05am na location ni Hell. Sishangai kwa wewe kupost hivi. Pole shetani.
 
Mi Nilijua Tangu Mwanzo juea They Couldnt Go Far, Kidemu Kimetendwa;- Akasikolize Nyimbo Diamond Ft Ney Wa Mitego
 
Diamond mzuri bwana!.......huo wote ni wivu tu!....kwani wanavyosema mwanaue handsome wanamaanisha suluali tu?ni pamoja namshiko babu,jipange!!!!
 
Back
Top Bottom