Pesa kwetu siyo shidaSio Chikwende tu yupo Peter Muduhwa, Junior Lukosa Apo Simba kapigwa pesa ndefu, Bwanyenye MO atajua Kama hajui.
Hii kazi ya ku-design jezi utopolo itabidi tuwape mkataba m-design jezi za mabingwa.View attachment 1860720
View attachment 1860721
Yule dogo ni mjanja sana. Hakutaka kugonja ili kipaji chake kuharibike, akaamua kusepa mapema.
π·Upo!! Mzee wa π‘Pesa kwetu siyo shida
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hizi picha Za Nini Sasa??hujui hizo MB 3 ujue Ni nyingi kwetu walala hoi?
Umeshaniharibia bajeti
lakini kombe anapata hapati?Mkiambiwa hiyo Team ya mwamedi mnakuwa wabishi
Siku hizi imeanza kusajiri kila kiumbe kilichovaa jezi mtaani.
Naogopa hata kutoka nje wasije nisajiri. Bora nicheze ndanda kuliko utelembwe kwa mudi
Bado huaminiWe umeipata wapi hii taarifa? Maana vyanzo rasmi vya club havijawahi kutoa taarifa mahala popote.