Kumbe Perfect Chikwende amevunja mkataba na Simba

Mkiambiwa hiyo Team ya mwamedi mnakuwa wabishi
Siku hizi imeanza kusajiri kila kiumbe kilichovaa jezi mtaani.
Naogopa hata kutoka nje wasije nisajiri. Bora nicheze ndanda kuliko utelembwe kwa mudi
 
Ingawa usajili n kamari lakin kwa chikwende mud alikurupuka kulikuwa na wachezaji wengi tu nafas ile halafu goli lenyewe chikwende aliwafunga kibahati tu
 
Mkiambiwa hiyo Team ya mwamedi mnakuwa wabishi
Siku hizi imeanza kusajiri kila kiumbe kilichovaa jezi mtaani.
Naogopa hata kutoka nje wasije nisajiri. Bora nicheze ndanda kuliko utelembwe kwa mudi
lakini kombe anapata hapati?
 
Back
Top Bottom