Aisee tushirikishane maana ubongo umeshasinzia... Weekend hiiHapo kwenye prince wa kwetu aliyetubania wa Kaskazini umenifikirisha kidogo....
Ila nimeshaelewa [emoji12]
Na yapo madai kuwa alikuwa ananyukwa.aisee..... na bado alikuwa natumbua wadada wapenda fedha kimya kimya
Ila kadunda mazee.Halafu unakutana na jamaa unamwambia tukapime anaanza kubabaika!! Imagine HIV iko na jamaa since 1990 it is now 26 years dalili zinatokea na anakufa. Jamani fanya maamuzi magumu nenda kapime, ukijua status yako itakufanye ujichunge kama ni safi au uanze tiba lishe kama umeshavita. I tell you kwa hela Prince angekubali dawa angeongeza another 20 years.
Nchi ngumu hii mkuu,sitaki ugali wa segerea.Aisee tushirikishane maana ubongo umeshasinzia... Weekend hii
Halafu unakutana na jamaa unamwambia tukapime anaanza kubabaika!! Imagine HIV iko na jamaa since 1990 it is now 26 years dalili zinatokea na anakufa. Jamani fanya maamuzi magumu nenda kapime, ukijua status yako itakufanye ujichunge kama ni safi au uanze tiba lishe kama umeshavita. I tell you kwa hela Prince angekubali dawa angeongeza another 20 years.
Saana,,..duuh!!!!Ila kadunda mazee.
26 bila dawa yoyote?[emoji15] [emoji15]