Kumbuka alikuwa jehova witness wale unawafahamu jinsi hawakubali tiba nyingi hasa ya kuongezewa damu na mengine. Nashangaa hata Michael Jackson alikuwa Jehova na ni mraibu wa madawa ya kupunguza maumivu ambayo kiukweli ni addiction kama nyingine tu tena inawachukua haraka kuliko hata pombe.Akiwa kama mtu mzima zaidi ya umri wa miaka 18 ana uhuru wa kukataa au kukubali matibabu. Inhibitors zinavusha masikini yeye na mahela yake angeweza kutibiwa hata private hospital.