Kumbuka alikuwa jehova witness wale unawafahamu jinsi hawakubali tiba nyingi hasa ya kuongezewa damu na mengine. Nashangaa hata Michael Jackson alikuwa Jehova na ni mraibu wa madawa ya kupunguza maumivu ambayo kiukweli ni addiction kama nyingine tu tena inawachukua haraka kuliko hata pombe.Akiwa kama mtu mzima zaidi ya umri wa miaka 18 ana uhuru wa kukataa au kukubali matibabu. Inhibitors zinavusha masikini yeye na mahela yake angeweza kutibiwa hata private hospital.
Fred alikuwa raia wa Uingereza mwenye asili ya Zenj siyo US.Ukimwi upo kila mahali wala msidanganywe eti unatutafuna Afrika peke yetu hapana. dada yake mariah carey anao. kuna mtz wa zanzibar alikua anakaa state mwimbajibwa kundi flani ivi nae uluua wakati wa miaka ya 90. rapa mkongwe za zamani miaka ya 95 eazy nae ulimuua. halaf utasikia vwatu wengine wanabisha wanasema ukimwi haupo ni ugongwa fake. kuna mtu anaitw deception ananiumiza sana najua mdomo ni mbaya unawapoteza wengi.
R.I.P prince life is so difficult in this planet earth.
poa mkuu nliskia katokea zanzibareFred alikuwa raia wa Uingereza mwenye asili ya Zenj siyo US.
Asante sana. Ninaijua status yangu. Na hakika niko mwangalifu na Mungu ananisaidia. Kuna post yangu himu ndani na moja ta kigezo ni HIV checking.Tunashukuru kwa ushauri.Mi naomba kujua je wewe unajua current status yako ya hiv?
Si wanasema alikua bwa-bwa huyu?aisee..... na bado alikuwa natumbua wadada wapenda fedha kimya kimya
Hapo kwenye prince wa kwetu aliyetubania wa Kaskazini umenifikirisha kidogo....
Ila nimeshaelewa [emoji12]
Na yapo madai kuwa alikuwa ananyukwa.
Bila shaka hisia zangu zilikuwa sahii, nilihisi tu ni uo ugonjwa na sina shaka kuwa alikuwa shoga pia..anyway..apumzike kwa amani.
Watu wengi hawajui huyu Prince ni mtu mweusi
Acheni kupotosha. Prince hajawahi kuwa shoga.
Prince nimemfuatilia miaka mingi,lakini all along nilidhani ana damu ya native americansWatu wengi hawajui huyu Prince ni mtu mweusi
Wanajuana hao sampuli moja,achana naye.Mwenyewe alikuambia hivyo??we unawaamini sana hao wachonga pua sio?
.....we umepima?HIV and AIDS Cure and News: New Discovery Can Detect HIV By Using a Simple Scan
Wale mnaoishi kwa ARV's there are more good news.
.....we umepima?
....and..?ndo kusema CD4 zako bado zipo juu...Nimepima kama miezi 6 iliyopita.
Kwani nimekwambia mimi +ve?....and..?ndo kusema CD4 zako bado zipo juu...
....hujasema pia kama ni -ve....wasiotangazaga majibu wengi wao huwa ni +ve!Kwani nimekwambia mimi +ve?