The introvert
JF-Expert Member
- Sep 15, 2023
- 1,508
- 3,136
Dakika kadhaa za Profesa Sospeter Muhongo akiwa Bungeni Dodoma juzi, darasa zito sana Profesa kalitoa.
Unamkumbuka kwa lipi mzee wetu.
Alikuwa kimya kwa muda mrefu kidogo .
https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/share/v/1BHWGfEQhb/
Cha ajabu hajapewa hata unaibu waziri ,aibu sana hii nchiILa watu wa Mara wamenyooka Sana kuanzia Warioba, Heche, etc
ProfesaMzee wa geology
Hii nchi aliyewaroga viongozi nahisi ashakufaKwani ccm hakuna watu wazuri wapo kibao. Lakini hawana uhuru wa kutumia vichwa vyao kuisaidia serikali.
Matokeo yake, form four failure ndiye rais wa nchi bwahahhahahaaaCha ajabu hajapewa hata unaibu waziri ,aibu sana hii nchi
Na kibaya zaidi hataki kukubali kusaidiwa na wenye Phd na profesion zao, anateua watoto wake kuwa mawaziri hahahMatokeo yake, form four failure ndiye rais wa nchi bwahahhahahaaa
Imagine kama unalinganisha akili ya samuya vs muhongo ni kama unalinganisha ml kilimanjaro na kichuguu!!.