Kumbe Qatar, Emirates, British airways ni vishirika vidogo vya ndege Duniani.

ward41

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2022
Posts
749
Reaction score
2,533
chrome_screenshot_1661690229793.png
Haya hapa ndiyo mashirika makubwa ya ndege za abiria ulimwenguni. Kama kawa USA ana top list
 
Alafu anakuja MTU kalewa gongo anakwambia Russia inauchumi wa juu, kama kusafiri kwenyewe ni kipengele tuuu.
Kama Russia ingekuwa state mojawapo ya US ingekuwa ya nne kiuchumi kati ya states za Marekani baada ya California, NY, na Texas in that order. Hiyo ndio ishindane kiuchumi na Marekani? Zitakuwa ndoto za mwehu!
 
Nyie kila nyuzi mnaleta mambo yenu ya Russia na USA...msiharibu nyuzi za watu...fungueni za kwenu zenye hizo mambo
 
Kwa hiyo top 4 ni USA.. basi jamaa Yuko mbali sana. Hata hivyo raia wake wenye kipato Cha kati ni wengi sana
Raia wake wa kipato cha chini wamejazana bongo na wanaishi kama wafalme,kikubwa wanaombea kila kucha serikali ya TZ iondoe zuio la wageni kutomiliki ardhi na kuwepo uraia pacha,kwenye uraia pacha niko nao ila kwenye ardhi serikali ikamatie hapo hapo
 
Kama Russia ingekuwa state mojawapo ya US ingekuwa ya nne kiuchumi kati ya states za Marekani baada ya California, NY, na Texas in that order. Hiyo ndio ishindane kiuchumi na Marekani? Zitakuwa ndoto za mwehu!
Marekani uchumi wake mkubwa sana, sio mchezo yaani
 
Uko sahihi
Ungejua USA ilivyo kubwa husingeshangaa, USA ni sawa na nchi 50 zilizoendelea na kila moja ina airports zaidi ya moja, hivyo hata kwa safari za ndani tuu hakuna nchi inaweza kuishinda USA
 
Raia gani hao kipato cha chini bongo wanaishi kama wafalme??
Raia wake wa kipato cha chini wamejazana bongo na wanaishi kama wafalme,kikubwa wanaombea kila kucha serikali ya TZ iondoe zuio la wageni kutomiliki ardhi na kuwepo uraia pacha,kwenye uraia pacha niko nao ila kwenye ardhi serikali ikamatie hapo hapo
 
Raia wake wa kipato cha chini wamejazana bongo na wanaishi kama wafalme,kikubwa wanaombea kila kucha serikali ya TZ iondoe zuio la wageni kutomiliki ardhi na kuwepo uraia pacha,kwenye uraia pacha niko nao ila kwenye ardhi serikali ikamatie hapo hapo
Kwenye aridhi. Kama sio Tanzania kuwa wajanja ktk aridhi, mapoli yote Tanzania yangechukuliwa na awa wamarekani yaani. Jamaaa wanajua kubadilisha aridhi kuwa fursa yaani. Na Ndio wengi wameweka pesa zao pale Dubai UAE. Pale mwarabu anakula kodi tuuu lakini mmarekani, Ndio kamwaga mipesa yake
 
Marekani uchumi wake mkubwa sana, sio mchezo yaani
... wakati nchi kama UAE international airports ni mbili nadhani; Marekani ziko kibao kila state; kutokea popote duniani unaweza kutua mojawapo kati ya zaidi ya international airports 50. Hizo local ndio zimejaa hadi mashambani kama utitiri ukiacha za jeshi ndio ziko kila kijiji. Lile dude ni kitu kingine.
 
Kwenye aridhi. Kama sio Tanzania kuwa wajanja ktk aridhi, mapoli yote Tanzania yangechukuliwa na awa wamarekani yaani. Jamaaa wanajua kubadilisha aridhi kuwa fursa yaani. Na Ndio wengi wameweka pesa zao pale Dubai UAE. Pale mwarabu anakula kodi tuuu lakini mmarekani, Ndio kamwaga mipesa yake
Wapo wengi na wanaendelea kuja,serikali wangewapa kaeneo kama mwabepande basi,na wasizidi 100,kingine wanacholalamikia visa ya siku 90 atoke nje ya TZ halafu aombe upya kuingia,wangewapa visa hata ya mwaka
 
Duh hao jamaa ni smart kweli... acha waendelee kutusaidia tu
 
Back
Top Bottom