Kumbe Qatar, Emirates, British airways ni vishirika vidogo vya ndege Duniani.

Kumbe Qatar, Emirates, British airways ni vishirika vidogo vya ndege Duniani.

Air Tanzania ishushe gharama za kusafiri ili ibebe watu wengi, iruke zaidi ili irudishe gharama
 
Napenda sana nikisafiri na qatar airways.. huduma zao hata emirates haoni ndani based on my experience.
Lakini siyo ile inayokutoa au kukuleta Tz. Zinazokutoa out of Qatar ndiyo nzuri.

Emirates kuna kipindi alikuwa best katika middle east labda kama huduma zimepungua kwa sasa.
 
Alafu anakuja MTU kalewa gongo anakwambia Russia inauchumi wa juu, kama kusafiri kwenyewe ni kipengele tuuu.
Huo wingi usipelekee we'we kuifananisha kila kitu US na Russia. Russia kwa upande wake ndege Ni usafiri wa kawaida kabisa na unapatikana kwa urahisi.. Russia si nchi yenye shida ya usafiri wa ndege na kwao si usafiri wa kushangaza Kama huko Tanzania
 
Back
Top Bottom