DENG XIAOPING JF-Expert Member Joined Mar 6, 2022 Posts 2,396 Reaction score 2,598 Aug 28, 2022 #21 ward41 said: View attachment 2337445Haya hapa ndiyo mashirika makubwa ya ndege za abiria ulimwenguni. Kama kawa USA ana top list Click to expand... Biashara ya ndege ngumu sana hasa hasa mashirika binafsi yakishindana na mashirika ya kiserikali kwenye soko.
ward41 said: View attachment 2337445Haya hapa ndiyo mashirika makubwa ya ndege za abiria ulimwenguni. Kama kawa USA ana top list Click to expand... Biashara ya ndege ngumu sana hasa hasa mashirika binafsi yakishindana na mashirika ya kiserikali kwenye soko.
HIMARS JF-Expert Member Joined Jan 23, 2012 Posts 70,791 Reaction score 98,334 Aug 28, 2022 #22 Air Tanzania ishushe gharama za kusafiri ili ibebe watu wengi, iruke zaidi ili irudishe gharama
B bitimkongwe JF-Expert Member Joined Oct 21, 2009 Posts 7,794 Reaction score 7,551 Aug 28, 2022 #23 Championship said: Napenda sana nikisafiri na qatar airways.. huduma zao hata emirates haoni ndani based on my experience. Click to expand... Lakini siyo ile inayokutoa au kukuleta Tz. Zinazokutoa out of Qatar ndiyo nzuri. Emirates kuna kipindi alikuwa best katika middle east labda kama huduma zimepungua kwa sasa.
Championship said: Napenda sana nikisafiri na qatar airways.. huduma zao hata emirates haoni ndani based on my experience. Click to expand... Lakini siyo ile inayokutoa au kukuleta Tz. Zinazokutoa out of Qatar ndiyo nzuri. Emirates kuna kipindi alikuwa best katika middle east labda kama huduma zimepungua kwa sasa.
M Maghayo JF-Expert Member Joined Oct 5, 2014 Posts 20,307 Reaction score 47,210 Aug 28, 2022 #24 Mcqueenen said: Okay, kwahiyo tufanyeje sasa? Click to expand... Tujitahidi kubana matumizi kwa kula mlo mmoja baada ya siku tatu. Hali ni mbaya mtu wangu!
Mcqueenen said: Okay, kwahiyo tufanyeje sasa? Click to expand... Tujitahidi kubana matumizi kwa kula mlo mmoja baada ya siku tatu. Hali ni mbaya mtu wangu!
S Sela Son JF-Expert Member Joined Dec 31, 2018 Posts 3,120 Reaction score 7,317 Aug 28, 2022 #25 Come27 said: Alafu anakuja MTU kalewa gongo anakwambia Russia inauchumi wa juu, kama kusafiri kwenyewe ni kipengele tuuu. Click to expand... Huo wingi usipelekee we'we kuifananisha kila kitu US na Russia. Russia kwa upande wake ndege Ni usafiri wa kawaida kabisa na unapatikana kwa urahisi.. Russia si nchi yenye shida ya usafiri wa ndege na kwao si usafiri wa kushangaza Kama huko Tanzania
Come27 said: Alafu anakuja MTU kalewa gongo anakwambia Russia inauchumi wa juu, kama kusafiri kwenyewe ni kipengele tuuu. Click to expand... Huo wingi usipelekee we'we kuifananisha kila kitu US na Russia. Russia kwa upande wake ndege Ni usafiri wa kawaida kabisa na unapatikana kwa urahisi.. Russia si nchi yenye shida ya usafiri wa ndege na kwao si usafiri wa kushangaza Kama huko Tanzania