Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Keshasepa huyo Pro-USA.Mleta mada....upoooooo??? Ama umeisha'teleza'?
... tangu 1992 (30 years ago) zimetengenezwa 30 tu? Yaani wastani wa 1 kila mwaka? Tatizo nini? Mtaji? Soko? Au? Hizo sio ndege za kupanda.
Yaani Uhakika Bro wasemacho[emoji13][emoji13][emoji13]Daah! Warusi mmefanya mashambulizi mithili ya mvua ya makombora ya Urusi [emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani hata kama ameshajibiwa bado mnakazia zaidi just to make sure asee ni hatari sana.
Naona mnaiga zile teknik za mashambulizi kutoka medani mojakwamoja mnazileta uraiani. Ni mvua ya replies