Inatosha mkuudogo nenda shule kwanza kajifunze kufanya utafiti kabla ,hujatapika uhalo wako!! Ilushin unazijua au !!? Ndo nyny huwa mnapelekwa vitani flont line Kama chambo .....shut......up!!! wewe na zele hamna tofauti.bogas kabisaa!!!
Rudia Tena kuleta uharo Kama huu uone!!!
Wacha wee, africa hii hii?ila kuunga mkono Urusi ni ujinga wa kiwango cha reli maana urusi hapiganii maslai yetu wala ya mtu yeyote mbali na warusi so ilibid waafrik tuutumie huu mgogoro kupiga hatua ila tumekubali kubakia nyuma , na ss hv tumejiwek nyuma ya Uruai it means tumekubali kuwa vikatuni wa watu fulan , kpnd hiki ndo ilikuwa simple kuwatumia wazung kukuza uchumi maana wanajiandaa kuwekeza ili kukabiliana na China , hz Fursa Kenya kaziona na kashachangamkia tyr
Unataka kusema hao wengine wanapigania maslahi yetu?,yapi?ila kuunga mkono Urusi ni ujinga wa kiwango cha reli maana urusi hapiganii maslai yetu wala ya mtu yeyote mbali na warusi so ilibid waafrik tuutumie huu mgogoro kupiga hatua ila tumekubali kubakia nyuma , na ss hv tumejiwek nyuma ya Uruai it means tumekubali kuwa vikatuni wa watu fulan , kpnd hiki ndo ilikuwa simple kuwatumia wazung kukuza uchumi maana wanajiandaa kuwekeza ili kukabiliana na China , hz Fursa Kenya kaziona na kashachangamkia tyr
... naona tunabishana badala ya kuweka facts mezani. Hoja ni "Ilyushin Il-96-300PU" zimezalishwa ngapi tangu 1992 zilipoanza kuzalishwa. Kama fact ni "Ilyushin Il-96-300PU" ni ndege specifically kwa Rais wa Russia you are right; but, unfortunately, it isn't! Hao Cuba unaosema walinunua hiyo ndege nao ni kwa ajili ya matumizi ya Rais wao?Upande ndege ya rais uende wapi? Wao wanajitengenezea siyo kwa kuuza ingawa wa Cuba walinunua baadhi na ndio pekee nje ya Russia wanatumia.
Ukisoma utajua hadi leo zimetengenezwa ngapi hizo Air Force One. Kama vile ndege ya Rais wa Urusi zilivyo chache. Hizi ni ndege special.... inawezekana na mimi sijaelewa hoja; unamaanisha Ilyushin Il-96-300PU ni equivalent na Air Force One? Sio Boeing tena?
Tumia akili hata kidogo wazungu wanaowazungumizia ni hawa NATO au wazungu gani? Wapo miaka yote tangu waigawane Afrika wakibadili mbinu za ukoloni shenzi zao wauawae tu.ila kuunga mkono Urusi ni ujinga wa kiwango cha reli maana urusi hapiganii maslai yetu wala ya mtu yeyote mbali na warusi so ilibid waafrik tuutumie huu mgogoro kupiga hatua ila tumekubali kubakia nyuma , na ss hv tumejiwek nyuma ya Uruai it means tumekubali kuwa vikatuni wa watu fulan , kpnd hiki ndo ilikuwa simple kuwatumia wazung kukuza uchumi maana wanajiandaa kuwekeza ili kukabiliana na China , hz Fursa Kenya kaziona na kashachangamkia tyr
Basi tafuta fact yako, binafsi sikulazimishi uikubali fact hii.Kama fact ni "Ilyushin Il-96-300PU" ni ndege specifically kwa Rais wa Russia you are right; but, unfortunately, it isn't!
Acheni kumuandama mtoto[emoji41][emoji41][emoji41]Mleta mada anaugua ugonjwa wa kuipenda Marekani kupita kiasi. Pendekezeni tiba ya ugonjwa huu hatari unaodumaza fikra na kumfanya mgonjwa awe chawa wa mabeberu [emoji16][emoji16]
View attachment 2281371View attachment 2281372View attachment 2281373View attachment 2281374View attachment 2281375
Wacha kudanganya umma, utafungwa, hii ni Ilyushin Il-96-300PU
Sasa watu tutakuwa tunatafuta ushahidi sahihi kwanza kabla ya kuamua kufanya kitu. Na hii ni afya kwa bongo zetu! Tubarikiwe sote pamoja na mleta Mada.Mleta mada hata kama ukikimbia nakuja hukohuko PM haiwezekani ujifanye Janja janja kumbe huna lolote
Propaganda nyingine zinashangaza kidogo,ninacho vipongeza media za magharibi zimefanikiwa sana kuwachota akili/brainwash watu wengi Duniani - yaani wengi wao wana amini kwamba Urusi haina uwezo wowote katika fani za sayansi na teknolojia au jeshi!!
Uko sawa mkuu. Hata hawa wengine ndege za marais wao ni ndege zile zile za kawaida ila huzifanyia upgrades kwa matakwa yao, sawia na hiyo -300PU au VC 25 kama sikosei kwa boeing. Na bado kwa Russia zao zote zipo kwa matumizi ya serikali zaidi chini ya Rossiya.... naona tunabishana badala ya kuweka facts mezani. Hoja ni "Ilyushin Il-96-300PU" zimezalishwa ngapi tangu 1992 zilipoanza kuzalishwa. Kama fact ni "Ilyushin Il-96-300PU" ni ndege specifically kwa Rais wa Russia you are right; but, unfortunately, it isn't! Hao Cuba unaosema walinunua hiyo ndege nao ni kwa ajili ya matumizi ya Rais wao?
TUJITEGEMEE, Mpinzire
Uchawa wake wa USA Baby umezidi. Apunguze kidogo [emoji16][emoji16][emoji16]Acheni kumuandama mtoto[emoji41][emoji41][emoji41]
... ndio maana nikauliza how comes kwa miaka 30 zimezalishwa 30 tu kama pia zinauzwa kibiashara?Uko sawa mkuu. Hata hawa wengine ndege za marais wao ni ndege zile zile za kawaida ila huzifanyia upgrades kwa matakwa yao, sawia na hiyo -300PU au VC 25 kama sikosei kwa boeing. Na bado kwa Russia zao zote zipo kwa matumizi ya serikali zaidi chini ya Rossiya.
Kwasababu ndio angalau unasimamia ukweli uwazi haki na uadilifu sio kama hao wapuuzi wa US na shost zakenilicho gundua ni kwamba alsilimia kubwa ya waafrica wapo upandea wa RUSSIA
Yaani RUSSIA aache kupigania maslahi ya watu wake apiganie maslahi yenuila kuunga mkono Urusi ni ujinga wa kiwango cha reli maana urusi hapiganii maslai yetu wala ya mtu yeyote mbali na warusi so ilibid waafrik tuutumie huu mgogoro kupiga hatua ila tumekubali kubakia nyuma , na ss hv tumejiwek nyuma ya Uruai it means tumekubali kuwa vikatuni wa watu fulan , kpnd hiki ndo ilikuwa simple kuwatumia wazung kukuza uchumi maana wanajiandaa kuwekeza ili kukabiliana na China , hz Fursa Kenya kaziona na kashachangamkia tyr