Wewe mtoa post hata kuuliza unashindwa utapataje kutoa UZUZU wako,unaujua kampuni AURUS ndiyo iliyounda engine za hizo ndege na kwa taarifa huyo unayemsema hata mitandao sijui twita,fb unayoijua wewe hatumii anamitandao yake, na unaijua hii ya abiria yenye mwendokasi zaidi ya upepo mpaka ilikatazwa kubeba abiria