Kumbe sababu ya kifo cha Mkapa ni Cardiac Arrest. Asante sana mwanafamilia William Erio kumaliza sintofahamu hii

Kumbe sababu ya kifo cha Mkapa ni Cardiac Arrest. Asante sana mwanafamilia William Erio kumaliza sintofahamu hii

Erio Ameweka Wazi.....

Cause of Death:Cardiac Arrest Secondary to Complicated(Severe Malaria).

Mjadala umemalizwa vizuri na ndg.Erio.

Rest In Peace Benjamin W.Mkapa,aaamen.
Kama ni complicated Malaria ni aibu sana kwa mtu yeyote yule hapa Tanzania kufa na ugonjwa unaotibika kama Malaria. Hasa kwa raisi
May be had hx of hypertension, coronary syndrome.
 
ndammu,
Kumbuka jana yake kikwete alikuwa hospitali na marehemu wakipiga story, sidhani kama hospitali ni wajinga kuruhusu kikwete kama mkapa angekuwa na corona.
Sahihisha hapo Mkuu alikuwa anapiga story na Mzee wetu RIP aliyekuwa na shambulio la moyo (Cardiac Arrest!) Naomba nikomee hapo na tumuombee Mr. Ben pumziko la amani
 
Kama ni complicated Malaria ni aibu sana kwa mtu yeyote yule hapa Tanzania kufa na ugonjwa unaotibika kama Malaria. Hasa kwa raisi
May be had hx of hypertension, coronary syndrome.
Ulitaka Erio akuambie mkururo wa hayo uliyosema?!!!

Nyinyi mnasema DISEASES DO NOT READ BOOKS..hyo aibu yako ulyokariri haina mashiko....
 
Wanabodi,
Kumbe sababu ya kifo cha Mpendwa wetu, Benjamin William Mkapa ni Cardiac Arrest!.

Asante sana Mwanafamilia wa familia ya Mkapa, William Erio, kuusema ukweli huu na kumaliza rasmi ile sintofahamu ya chanzo cha kifo, ambayo imezua mijadala kwenye mitandao ya kijamii ikiwemo JF.

Kama Tangazo la kifo lingezingatia sheria tangu pale mwanzo, wala kusingetokea sintofahamu yoyote!.

Hivyo japo haijasemwa ni JF, lakini amini usiamini, mabandiko kama haya

Tangazo la kifo cha Benjamin Mkapa, Kurungenzi ya Mawasiliano Ikulu lawamani. Inahitaji kusaidiwa kumsaidia Rais - Jicho Letu Ndani ya Habari

Japo yanalaumiwa kwa kuonekana watu wana mind vitu vidogo vidogo ambayo sio vya msingi, lakini yanasaidia.

Chanzo cha kifo cha ghafla cha any state leader ambaye hajawahi kutamkwa kusumbuliwa na maradhi yoyote, automatically kita send a shock wave kwenda viral.

Baada ya kauli hii, sasa minongo yote kuhusu chanzo cha kifo imemalizwa rasmi.
Naombeni sana, wanabodi, tuwe na heshima kwa viongozi wetu na tuwe na heshima kwa marehemu, mkiisha ambiwa ukweli wa familia, then tuupokee ukweli huu, tuuamini, na kumheshimu Marehemu kwa kuto toa comments zozote negative based on hisia!.

RIP, Mhe. Rais Mstaafu, Benjamin William Mkapa.

Paskali
Pascal Mayala, hii haistahili ulete habari kama hii mtu kama wewe. Japo siyo Daktari, lakini kuna vingine ni very basic.

Mimi kwa uelewa wangu wa advanced First Aid niliyoipata Australia, ambapo kimsingi ni utaalam wa kushughulikia matatizo ya afya ya dharula, hakuna Cardiac Arrest ya namna hiyo.

Labda kama alipelekwa hospitali kwa tatizo jingine halafu baadaye akapata hilo tatizo.

Cardiac Arrest sign ya kwanza ni fainting. Na huwa ni haraka sana mpaka kukifikia kifo. Haina tofauti sana na Heart attack.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usiwe mgumu kuelewa. Sasa kama pale palianza kuwa na hiyo idara unadhani imevunjwa baada ya JKCI kuanzishwa?

Au ndo wanachukulia utaalamu pale/ kushea wataalam

Maana yangu ilikua kwamba pale wana uwezo mkubwa kuliko hata kule Muhimbili
Mkapa ni National figure.. Tukitegemea hizi taarifa zitolewe na Kiongozi mkuu wa nchi na sio mwana familia
Mbona taratibu nyingine ni Serikali ina fanya?
 
Wanabodi,
Kumbe sababu ya kifo cha Mpendwa wetu, Benjamin William Mkapa ni Cardiac Arrest!.

Asante sana Mwanafamilia wa familia ya Mkapa, William Erio, kuusema ukweli huu na kumaliza rasmi ile sintofahamu ya chanzo cha kifo, ambayo imezua mijadala kwenye mitandao ya kijamii ikiwemo JF.

Kama Tangazo la kifo lingezingatia sheria tangu pale mwanzo, wala kusingetokea sintofahamu yoyote!.

Hivyo japo haijasemwa ni JF, lakini amini usiamini, mabandiko kama haya

Tangazo la kifo cha Benjamin Mkapa, Kurungenzi ya Mawasiliano Ikulu lawamani. Inahitaji kusaidiwa kumsaidia Rais - Jicho Letu Ndani ya Habari

Japo yanalaumiwa kwa kuonekana watu wana mind vitu vidogo vidogo ambayo sio vya msingi, lakini yanasaidia.

Chanzo cha kifo cha ghafla cha any state leader ambaye hajawahi kutamkwa kusumbuliwa na maradhi yoyote, automatically kita send a shock wave kwenda viral.

Baada ya kauli hii, sasa minongo yote kuhusu chanzo cha kifo imemalizwa rasmi.
Naombeni sana, wanabodi, tuwe na heshima kwa viongozi wetu na tuwe na heshima kwa marehemu, mkiisha ambiwa ukweli wa familia, then tuupokee ukweli huu, tuuamini, na kumheshimu Marehemu kwa kuto toa comments zozote negative based on hisia!.

RIP, Mhe. Rais Mstaafu, Benjamin William Mkapa.

Paskali
Aksante kwa unumbe p.mayala a.k.a Kitimoto, kada mtiifu wa ccm
 
Mshambiwa cardiac arrest na wanandugu
Kama Mnataka kujua zaidi nendeni mkawaulize wanafamilia sasa

Ova
 
Mkapa ni National figure.. Tukitegemea hizi taarifa zitolewe na Kiongozi mkuu wa nchi na sio mwana familia
Mbona taratibu nyingine ni Serikali ina fanya?

Tatizo lilitokea na linajulikana toka 2015 sio jipya.

Unless uniambie wewe ndo umeanza kufuatilia siasa juzi BWM alivyofariki.

Incumbent sio muongeaji mzuri, hata teleprompter sijui kama walimuwekea. Ukisikiliza ile taarifa alikua anarudia rudia mambo mfano Habari za jioni na habari za usiku😄😄

INABIDI TUZOEE TU
 
Wee jamaa sijui hata kuishi kwako huko Marekani unakuza vipi akili yako! Yani mawazo yako na ya yule msukuma wa kule Sumve ndani kabisa hayana tofauti. Upo hovyo balaa!
Ukiwa huna hoja, ukiwa huna uwezo wa kujenga hoja, matokeo yake ndo haya sasa!

Unamshambulia mtoa hoja badala ya hoja yake.

Sasa kuishi kwangu Marekani na nilichokiandika vina uhusiano gani? Achilia mbali kwamba hujui nilipoishi, ninapoishi, na nitapoishi...

Juha kama jiwe wewe.
 
Mnalazimisha watu waongee kwa umbea wenu wa kwenye mitandao na wanasema jambo la uongo lisipokanushwa linageuka kuwa la kweli
Tafasiri ya umbea ni kupokea taarifa au kusambaza taarifa ambayo hukuiomba hata wewe ni mbea kwani unahangaika kukataa siyo corona huo ni umbea pia, maana ya umbea ni kusikiliza kupokea taarifa ambazo hukuziomba zije bali zimeletwa na watu.
 
Back
Top Bottom