Kumbe sababu ya kifo cha Mkapa ni Cardiac Arrest. Asante sana mwanafamilia William Erio kumaliza sintofahamu hii

Kumbe sababu ya kifo cha Mkapa ni Cardiac Arrest. Asante sana mwanafamilia William Erio kumaliza sintofahamu hii

Wanabodi,
Kumbe sababu ya kifo cha Mpendwa wetu, Benjamin William Mkapa ni Cardiac Arrest!.

Japo yanalaumiwa kwa kuonekana watu wana mind vitu vidogo vidogo ambayo sio vya msingi, lakini yanasaidia.

Chanzo cha kifo cha ghafla cha any state leader ambaye hajawahi kutamkwa kusumbuliwa na maradhi yoyote, automatically kita send a shock wave kwenda viral.
Mkuu Pascal, tukiri kwamba serikali inajitakia yenyewe kusababisha romours kama hizi. Kwa mfano, umewahi kusikia serikali ikikiri kifo cha kiongozi yeyote hapanchini kuwa ni Covid-19? As far as serikali is concerned, hakuna kiongozi hata mbunge amewahi kufa kwa Covid-19 (I stand to be corrected kama kuna aliyetangazwa) ila ni watu wengine tu wasiojulikana wanakufa kwa Covid 19, na hata sasa hakuna anaekufa kwa Covid - 19. Huo ndio msimmo wa serikali. Sasa kama ni kweli au si kweli kila mtu atumie akili zake.

Sasa ni jambo jema kwamba Uriyo anatamka wazi kuwa kifo cha Mkapa kilisababishwa na cardiac arrest. Tutakubali tukiwa na akili za kutosha kuelewa kwamba cardiac arrest inaweza kuwa ni matokeo ya tatizo jingine. Mlevi akiendesha gari akagonga mti na kufa tutakuwa sahihi kusema amekufa kwa ajali ya gari, lakini ukweli halisi ni kwamba amekufa kwa kuendesha gari akiwa amelewa.

Labda tu mie nikuulize swali moja Mkuu Pascal. Kama kifo cha Mkapa kingekuwa kimesababishwa na Covid-19, je tungeambiwa hivyo?
 
Still connecting the relation of Malaria with Cardiac arrest sipati jibu? but kuna uhusiano mkubwa kati ya upumuaji na shambulio la moyo.

Jiongezeni wakubwa, Israel mtoa roho bado anawinda roho za watu wenye shingo ngumu.
Kwa ule mwili wake na Umri wake ishu ya Cardiac Arrest haikuhitaji Corona au ugonjwa mwingine wowote yani hata kuhoji haitakiwii...!
 
Hivi cardiac arrest huwa mgonjwa analazwa hospitali, anapiga stori na wanaomtembelea wee ndipo inamuua? Hapa kuna walakini. Itoshe tu kusema RIP Mkapa. Mambo mengine wanafamilia waendelee kuyafanya siri yao, wasiingie kwenye mtego wa kutuliza uvumi unaoendelea.
Alilazwa kwa malaria akiwa Hospital ndo Akapata Cardiac Arrest..
 
Ndugu ansema mzee alilazwa kwa maralia na ndiyo aliyokuwa anatibiwa; cardiac arrest imemkuta akiwa amelala akiendelea na matibabu hayo. Kueneza uvumi wowote bila kuwa na uhakika siyo jambo jema kabisa. Taarifa kamili ni za kutoka kwa daktari wake na ndugu zake wa karibu. Ukishawapinga hao basi unakuwa na ajenda yako tu
Mkuu hili tukio zima lina utata sana. Na kwa kweli utata huu mimi nauona kama unaletwa kwa "makusudi" kabisa, sio kwamba watu hawajui kinachotakiwa kufanyika (tena mengine sheria imeshurutisha yafanyike....lakini bado unaona gaps). Nasita kuamini kuwa ni communication failure ya kawaida tu. Kwa mfano tu, kulikuwa na haja ya "kuficha" jina la mahali alipofia? Hasa kama sababu ni tatizo la moyo?

Hata sababu hasa ya kifo, tusingepaswa kuambiwa na Erio. Sheria inataka serikali iseme sababu ya kifo, pamoja na mambo mengine.

Nikivyosikiliza maelezo ya JK, nilihisi pengine BWM alikuwa pengine anasumbuliwa na "tumbo" (JK aligusia Mkapa kujisikia maumivu). Maelezo ya JK hayakuashiria "severe malaria" kabisa. Well, najua unaweza kuwa na malaria na tumbo likasumbua. Kuna kitu nafikiri hakijakaa sawa sawa bado.

Muda utasema.

RIP Mzee Mkapa.
 
Mkuu Pascal, tukiri kwamba serikali inajitakia yenyewe kusababisha romours kama hizi. Kwa mfano, umewahi kusikia serikali ikikiri kifo cha kiongozi yeyote hapanchini kuwa ni Covid-19? As far as serikali is concerned, hakuna kiongozi hata mbunge amewahi kufa kwa Covid-19 (I stand to be corrected kama kuna aliyetangazwa) ila ni watu wengine tu wasiojulikana wanakufa kwa Covid 19, na hata sasa hakuna anaekufa kwa Covid - 19. Huo ndio msimmo wa serikali. Sasa kama ni kweli au si kweli kila mtu atumie akili zake.

Sasa ni jambo jema kwamba Uriyo anatamka wazi kuwa kifo cha Mkapa kilisababishwa na cardiac arrest. Tutakubali japo hatujaona hiyo death certificate.

Labda tu mie nikuulize swali moja Mkuu Pascal. Kama kifo cha Mkapa kingekuwa kimesababishwa na Covid-19, je tungeambiwa hivyo?
Uambiwe hivyp ili iwejee????? Wewe ushawahi sikia wanatangaza Kiongozi kafa na Ukimwi??? Ni kusema ukimwi viongozi hawapati au?? As serikali imeshasema hakuna Covid 19 lakini wanazidi kutoa tahadhari so akili kumkichwaaa..
 
Mkuu hili tukio zima lina utata sana. Na kwa kweli utata huu mimi nauona kama unaletwa kwa "makusudi" kabisa, sio kwamba watu hawajui kinachotakiwa kufanyika (tena mengine sheria imeshurutisha yafanyike....lakini bado unaona gaps). Nasita kuamani kuwa ni communication failure ya kawaida tu. Kwa mfano tu, kulikuwa na haja ya "kuficha" jina la mahali alipofia? Hasa kama sababu ni tatizo la moyo?

Hata sababu hasa ya kifo, tusingepaswa kuambiwa na Erio. Sheria inataka serikali iseme sababu ya kifo, pamoja na mambo mengine.

Nikivyosikiliza maelezo ya JK, nilihisi pengine BWM alikuwa pengine anasumbuliwa na "tumbo" (JK aligusia Mkapa kujisikia maumivu). Maelezo ya JK hayakuashiria "severe malaria" kabisa. Well, najua unaweza kuwa na malaria na tumbo likasumbua. Kuna kitu nafikiri hakijakaa sawa sawa bado.

Muda utasema.

RIP Mzee Mkapa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sasa mkuu unataka muda usemee ili ukusaidie nini????
 
Wanabodi,
Kumbe sababu ya kifo cha Mpendwa wetu, Benjamin William Mkapa ni Cardiac Arrest!.

Asante sana Mwanafamilia wa familia ya Mkapa, William Erio, kuusema ukweli huu na kumaliza rasmi ile sintofahamu ya chanzo cha kifo, ambayo imezua mijadala kwenye mitandao ya kijamii ikiwemo JF.

Kama Tangazo la kifo lingezingatia sheria tangu pale mwanzo, wala kusingetokea sintofahamu yoyote!.

Hivyo japo haijasemwa ni JF, lakini amini usiamini, mabandiko kama haya

Tangazo la kifo cha Benjamin Mkapa, Kurungenzi ya Mawasiliano Ikulu lawamani. Inahitaji kusaidiwa kumsaidia Rais - Jicho Letu Ndani ya Habari

Japo yanalaumiwa kwa kuonekana watu wana mind vitu vidogo vidogo ambayo sio vya msingi, lakini yanasaidia.

Chanzo cha kifo cha ghafla cha any state leader ambaye hajawahi kutamkwa kusumbuliwa na maradhi yoyote, automatically kita send a shock wave kwenda viral.

Baada ya kauli hii, sasa minongo yote kuhusu chanzo cha kifo imemalizwa rasmi.
Naombeni sana, wanabodi, tuwe na heshima kwa viongozi wetu na tuwe na heshima kwa marehemu, mkiisha ambiwa ukweli wa familia, then tuupokee ukweli huu, tuuamini, na kumheshimu Marehemu kwa kuto toa comments zozote negative based on hisia!.

RIP, Mhe. Rais Mstaafu, Benjamin William Mkapa.

Paskali
Hakuna mtu anaweza kufa bila kupata cardiac arrest. Cardiac arrest maana yake ni moyo kusimama (yaani kifo), kwa hiyo kifo hakiwezi kuwa sababu ya kifo.
Maneno au report kama hizi zinasababisha wenzetu nje ya nchi wakisikia waone Tanzania hakuna watu wanaojitambua.
Nafikiri familia ilimaanisha shambulizi la moyo (myocardial inafction).
 
Uambiwe hivyp ili iwejee????? Wewe ushawahi sikia wanatangaza Kiongozi kafa na Ukimwi??? Ni kusema ukimwi viongozi hawapati au?? As serikali imeshasema hakuna Covid 19 lakini wanazidi kutoa tahadhari so akili kumkichwaaa..
UKimwi ni tofauti Mkuu. Kuna stigma kuhusiana na ukimwi. Lakini Covid-19 hakuna haja ya kufichana, na kama tunafichana basi ni wendawazimu tu wa kisiasa.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sasa mkuu unataka muda usemee ili ukusaidie nini????
Wengine akili zetu zinapenda tu kusia "ukweli na uwazi".......vitu vikiwa na ukakasi akili haitulii. Kinachotokea ni antithetical na dhana ya ukweli na uwazi ambayo BWM aliipigania. No?
 
UKimwi ni tofauti Mkuu. Kuna stigma kuhusiana na ukimwi. Lakini Covid-19 hakuna haja ya kufichana, na kama tunafichana basi ni wendawazimu tu wa kisiasa.
Wakisema ni Covid akati watu washatangaziwa haipo na mask hawavai tenaa leo hii watu wataenda vipi kumuaga mzew pale uwanjani na wametangaza kafa kwa Covid????
 
Wengine ajili zetu zinapenda tu kusia "ukweli na uwazi".......vitu vikiwa na ukakasi akili haitulii. Kinachotokea ni antithetical n adhana ya ukweli na uwazi ambayo BWM aliipigania. No?
Ashaenda mkuu na ukweli ndo huo umeambiwaa hivyp vingine ni kutaka uambiwe na kusikia unachoamini wewe na maisha hayapo hivyo...! Kama unahisi ni Covid bhasi jilinde tu mkuu na hata kumuaga mzee usiendee kabisa
 
Hapana, wala sifikirii ni Covid19 ....hii haipo Tz kwa sasa. Ni kweli amekwenda tayari, tutazoea tu!
 
Wakisema ni Covid akati watu washatangaziwa haipo na mask hawavai tenaa leo hii watu wataenda vipi kumuaga mzew pale uwanjani na wametangaza kafa kwa Covid????
Kweli MKuu. Ila sidhani kama ni Covid. Point imeeleza hapo juu kuwa alikuwa akitembelewa na watu kutia ndani Kikwete, ambapo ingekuwa Covid-19 hilo lisingefanyika. Hata hivyo katika siasa lolote linaweza kusemwa, hata kauli ya Kikwete inaweza kutengenezwa.
 
Hapana, wala sifikirii ni Covid19 ....hii haipo Tz kwa sasa. Ni kweli amekwenda tayari, tutazoea tu!
Bhasi wengi wanalazimisha ni Covid...!! Kama hufikirii ni Covid then Hiyo Cardiac Arrest ni sawa kabisa maana yule mzee kwa umri wake na Mwili waie bhasi cardiac arrest na vitu kama Stroke ni kawaida sanaa
 
Back
Top Bottom