Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila hata wewe una kasura kazuri sana kakike kike ukitulia unaonekana ni bonge la mkeee!!Achilia mbali tabia n.k Huyu akiacha ukichaa wake kumbe mke mzuri tu cheki kasura kalibotokelezea kikike zaidi!!
Zurie wewe ni zuri sana!Ni mzuri sana aisee
Na wewe pia ni mzuriUmeona eeeee mpaka nimempenda bure kwa hilo vazi!
Basi kama ushawahi kumuona live mtu wa 4ft na churaless unamuita mzuri utakua sio mvuvNdio tena sana tu.... Kama utakua umeelewa nimesemea hivo picha na vazi alilovaa vimeukonga mtima wangu!