Kumbe Salama Jabir ni mzuri hivi!!

Kumbe Salama Jabir ni mzuri hivi!!

Mwanamke tabia jmn sura hata mbuz anayo

Haswa umenena.Mimi kutokana na tabia zake naogopa hata kuiangalia sura yake.Basi kama ni uzuri wa sura na umbile la kike humlinganishi na Jaquiline Syleim wa ITV.Hana nyodo,papara wala kero na tena ni msomi wa hali ya juu.
 
Back
Top Bottom