mimi mkali
JF-Expert Member
- Dec 14, 2012
- 1,794
- 1,570
Ushawahi kumuona live?tuanzie hapo kwanza
Ndo maana namzimikia sana huyu mtoto, ila mdomo wake shombo tupu.Sitosahau aliloniambia nilipompigia simu kumtokea!!Achilia mbali tabia n.k Huyu akiacha ukichaa wake kumbe mke mzuri tu cheki kasura kalibotokelezea kikike zaidi!!
View attachment 356548
wewe ndio umefanya nichangieMzuri au picha yake ni nzuri
kivipiwewe ndio umefanya nichangie
teheteheteheHahahahahahahahaha! Mi sio fupi nyindo bana!
Mahondaw hayo macho ktk ID yako!!Unaelewa mtu akisema Achilia mbali tabia n.k?????
HahahahaIla hata wewe una kasura kazuri sana kakike kike ukitulia unaonekana ni bonge la mkeee!!
Mwanamke tabia jmn sura hata mbuz anayo
Au we ndo Salama mwenyeweeNdio tena sana tu.... Kama utakua umeelewa nimesemea hivo picha na vazi alilovaa vimeukonga mtima wangu!