Kumbe "salome ya daimond" ina maana hii

kidaganda

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2013
Posts
2,995
Reaction score
2,572
Aisee nimekuja kugundua hii nyimbo ya Salome ina matusi tena ya mwendo kasi

Hasa ka reyvanny

Kwanza anaanza kama anamsifia mwanamke eti

"kioo hakidanganyi mama umejipodoa umepodoka, mwendo na shepu vyote mwanana mi suruali yanidondoka"

Hapo kakaanza matusi madogomadogo sasa suruali inakudondoka je??

Akaendelea

"Tukimbizane nini Salome wangu hiyo michezo ya jogoo"

Matusi yakaendelea

"mbona watizama chini salome wangu ukimwona jongoo (kidudu)"

Matusi yakaanza kuwa makubwa

"inama chini shika magoti (doggy flani) mi nimesimama kama ngogoti (kadinda)"

Mtoto jojo (mlaini) sio roboti (sio mgumu kama chuma) chumbani bingili bingili samasoti"

Aisee dai si akaingia kucement matusi kabisa maana kumbuka hapo mtoto kashabog'oa na jamaa kashadinda na kashamshikashika kagundua mlaini

Dai sasa

"unantekenyaga ukinyonga Salome, unantekenyaga ukinyonga" (hapo sex inaendelea Miksa Mtoto anakatiba balaa)

Verse ya dai naye akaendeleza sex maana utasikia "utamu kolea" Mara "ting'ari tig'ari ndani kwa moto" huku akijisifulia kuwa na yeye kwenye sex sio "ngenge ni nganga"

Mama yangu Ray si akaja na matuzi makubwa zaidi

"Baby kwangwau isimamie kama kangaroo, ibane kangwau babu nyuma mpige kwakwalu kwakwalukwa" hapo ni obviously alikuwa anakaribia kucome

*Matusi matupu*

Niko natafakari kwasababu Mimi ndo nilimtumia hii nyimbo mshua madai asikilize wimbo Wa saida umeimbwa na dai na nikaisifia sana sasa najiuliza akiniuliza maana ya wimbo nitamjibu je
 
Duuh safari hii, tutashuhudia kila aina ya PROMO... This is too much , aisee
 
Kuna matusi ni matamu sana. Kama haya
 
Umeuelezea vizuri ndo wimbo huo na si wote wataelewa kama wewe
 
Hapo angekuwa ni yule mzee wa ''pale kati patamu'' Baraza lingeshaufungia mapema sana.

Nadhani hawa jamaa wanatumia lugha ya picha zaidi kufikisha ujumbe ingawa ujumbe wenyewe ni hovyo kabisa.

Wimbo ukiusikiliza ni chenga za makelele tupu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sana,japo hapo mwisho nahisi kama umeikopi sehemu hivi.
 
Ss yule alisema anachambua karanga na yeye alimaanisha anachambua nini?
 
Hapo angekuwa ni yule mzee wa ''pale kati patamu'' Baraza lingeshaufungia mapema sana.

Nadhani hawa jamaa wanatumia lugha ya picha zaidi kufikisha ujumbe ingawa ujumbe wenyewe ni hovyo kabisa.

Wimbo ukiusikiliza ni chenga za makelele tupu.
Labda ngoma tu ndio za maana kidogo.
Nashangaa watu wanausifiiiiia [emoji13][emoji13][emoji13]
 
Kuna unabii wa ngono unatimia Afrika hii... Miaka ya karibuni mashairi ya kingono yameongezeka, kwa uwazi na bila kificho. Nadhani ni itiko la mizimu kuongeza idadi ya watu. Usiogope...
 
Labda ngoma tu ndio za maana kidogo.
Nashangaa watu wanausifiiiiia [emoji13][emoji13][emoji13]
Mimi huwa sifuatilii nyimbo kama hizo....ni tabu tupu na kupotezeana muda....siku hizi watu wanavyatua nyimbo kwa kuwa uwezekano upo...hawaangalii maudhui ya nyimbo.
 
Hapo angekuwa ni yule mzee wa ''pale kati patamu'' Baraza lingeshaufungia mapema sana.

Nadhani hawa jamaa wanatumia lugha ya picha zaidi kufikisha ujumbe ingawa ujumbe wenyewe ni hovyo kabisa.

Wimbo ukiusikiliza ni chenga za makelele tupu.
wewe makimuga..mungu akupe nini makimuga
 
Nahis wewe ndio unatukana sasa
 
Kuna unabii wa ngono unatimia Afrika hii... Miaka ya karibuni mashairi ya kingono yameongezeka, kwa uwazi na bila kificho. Nadhani ni itiko la mizimu kuongeza idadi ya watu. Usiogope...
Ni kweli kabisa ndio mana baba Jesca naye alitusisitiza kufyatua watoto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…