Kumbe shahidi wa ushahidi wa ziada upande wa Jamhuri kwenye kesi ya Lissu ni marehemu!?

Kindus

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2014
Posts
4,257
Reaction score
3,383
Kamishina msaidizi wa polisi Amini Mahamba aliyekuwa ameandaliwa na upande wa jamuhuri kwenye kesi ya uhaini inayomkabili Lissu amekufa hata kabla ya october 29

Mwinjilisti Kamara Kasupa amebainisha hayo katika ukurasa wake wa mtandao wa kijamii kuwa kamishina Amini Mahamba ni clasmate wake wa o.levo na ameshafariki

Hivyo basi ushahidi ungeruhusiwa ungewasilishwa kwa njia ya recoded kitendo hicho kingekuwa ni kuhalifu sheria na pia wangeumbuka maana ningempelekea wakili wa Lissu hati ya kifo ili kuwaumbua ameandika Kamara Kasupa
 
Duuh noma sana
 
Mke wa Shahidi mwenyewe alishajitikeza na kukiri hivyo.
Nadhani ccm hawapo makini kwenye kila kitu!

NB: Hakuna kesi ya uhaini ya mtu mmoja!
Na maneno no reforms no election si uhaini!
Dunia yote ilishuhudia - hakukuwa na uchaguzi make hakukuwa na reforms!
 
Bongo ni zaidi ya uijuavyo anyway sio mapya Kama marehemu waliteuliwa huko nyuma itakua ajabu hii?😕😕
 
Tundu Lissu ni chaguo la Mungu. Samia ni chaguo la polisi, jeshi na Tiss
 
Kwa chama changu hilo ni jambo la kawaida sana. Huku marehemu wanakula teuzi na hawa hawa ndio walioleta ule ushindi wa 98% na hii ndio mbinu ya 3 tu kati ya zile 100 zilizotajwa na nkapa.
Aise
 
Tukubali tu akili ndogo haiwezi kutawala akili kubwa. Lissu ni akili kubwa. Kama una akili ndogo huwezi kumshinda kwa chochote.
 
Wamebanwa mbavu hata kuhema ni shida wametepeta vibaya mno.
 
😄

Utasema tuna vyombo vya ulinzi na usalama kweli?
 
..Kamara Kusupa bado yupo?

..Ni mwanaharakati wa miaka ya 90.

..huyu jamaa aliwahi kufungwa kipindi cha Mkapa.
 
Wangempeleka ndugu Lucas Mwashwamba sema ndio hivyo akili ya kunyoosha maelezo ndio changamoto 😁
 

..sasa hii inaleta shida nyingine.

..huu ni ushahidi wa wazi kwamba Dpp ana nia ovu, na hila, ktk shauri dhidi ya TL.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…