Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Sasa hivi imekuwa kila neno ni maridhiano. Maridhiano gani mnayodai kuwa eti ni kwa ajili ya haki na usalama wa nchi wakati sasa inaonekana mnafumbia macho ufisadi kwa kisingizio cha maridhiano!
Kwa nini hamtaki kukubali ukweli tu kumbe shida yenu kubwa ilikuwa ni kupata chochote kitu kwa ajili ya matumbo yenu?
Mmelamba asali sasa mnaona mmepata kila kitu
👇
Kwa nini hamtaki kukubali ukweli tu kumbe shida yenu kubwa ilikuwa ni kupata chochote kitu kwa ajili ya matumbo yenu?
Mmelamba asali sasa mnaona mmepata kila kitu
👇