Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Sasa hivi imekuwa kila neno ni maridhiano. Maridhiano gani mnayodai kuwa eti ni kwa ajili ya haki na usalama wa nchi wakati sasa inaonekana mnafumbia macho ufisadi kwa kisingizio cha maridhiano!
Kwa nini hamtaki kukubali ukweli tu kumbe shida yenu kubwa ilikuwa ni kupata chochote kitu kwa ajili ya matumbo yenu?
Mmelamba asali sasa mnaona mmepata kila kitu
[emoji116]View attachment 2249836
Wewe kijana acha dharau. Mimi sio Mataga. Kwani si mlijinasibu kuwa nyie ni wapinga ufisadi?Kwa nini unalazimishia CHADEMA waende kadri ya matakwa yako ewe mataga?
Tuweke njaa kando kwa maslahi ya taifa.Hajawahi kutokea baunsa likija suala la njaa.
Wachache sana wanaoweza kufanya hivyo. Sio Hawa wanaotupigia kelele.Tuweke njaa kando kwa maslahi ya taifa.
Jikite kwenye mada.Watu wako bize kumpongeza mama, wewe unaleta chokochoko.
Loyo tuwa oyeeee πππ
Wewe utakuwa Sukuma gang,Wewe kijana acha dharau. Mimi sio Mataga. Kwani si mlijinasibu kuwa nyie ni wapinga ufisadi?
Wenzenu wanalamba asali nyinyi mpo mitandaoni mnapambana na hiyo mnaita sukuma gang ππWewe utakuwa Sukuma gang,
Unao uhakika kwamba CDM imeacha kupinga ufisadi?Je,waliopo Bungeni wameitendeaje ripoti ya CAG?Ulitaka CDM ifanye nini kuhusu hilo suala la ufisadi wa CCM.Wewe kijana acha dharau. Mimi sio Mataga. Kwani si mlijinasibu kuwa nyie ni wapinga ufisadi?
Yupo wapi huyo mpambanaji wenu?Rejea kauli ya kachero BM.Nikiona mtu anatoa povu eti kuna mwanasiasa fulani anampambania uwa namdharau sana. Nchi hii aliyekuwa anapambania watu wa chini ni Magufuli peke yake na hakuna mwingine atatokea kwenye kizazi chetu.
Magufuli aliwakosea sana kwa kuwanyima hata tone moja tu. Alikuwa akikutana nao, watapiga picha tu lakini hawapati hata tone moja.Sasa hivi imekuwa kila neno ni maridhiano. Maridhiano gani mnayodai kuwa eti ni kwa ajili ya haki na usalama wa nchi wakati sasa inaonekana mnafumbia macho ufisadi kwa kisingizio cha maridhiano!
Kwa nini hamtaki kukubali ukweli tu kumbe shida yenu kubwa ilikuwa ni kupata chochote kitu kwa ajili ya matumbo yenu?
Mmelamba asali sasa mnaona mmepata kila kitu
πView attachment 2249845
Sasa wakulaumiwa ni aniue hakuwa asali au anaye hawa asali.Siku zote mpishi hawezi kufa na njaa mimi nahakika CDM bado ipo kwenye pisition nzuri ktk kutekeleza malengo yao.Sasa hivi imekuwa kila neno ni maridhiano. Maridhiano gani mnayodai kuwa eti ni kwa ajili ya haki na usalama wa nchi wakati sasa inaonekana mnafumbia macho ufisadi kwa kisingizio cha maridhiano!
Kwa nini hamtaki kukubali ukweli tu kumbe shida yenu kubwa ilikuwa ni kupata chochote kitu kwa ajili ya matumbo yenu?
Mmelamba asali sasa mnaona mmepata kila kitu
πView attachment 2249845
Anapambania maskini kwa kumnyanyasa tajiri? Anadai Nchi ya maskini lkn kodi anachukua kwa matajiri [emoji23][emoji23][emoji23] angewalipisha kodi maskini.Nikiona mtu anatoa povu eti kuna mwanasiasa fulani anampambania uwa namdharau sana. Nchi hii aliyekuwa anapambania watu wa chini ni Magufuli peke yake na hakuna mwingine atatokea kwenye kizazi chetu.
Sasa hivi imekuwa kila neno ni maridhiano. Maridhiano gani mnayodai kuwa eti ni kwa ajili ya haki na usalama wa nchi wakati sasa inaonekana mnafumbia macho ufisadi kwa kisingizio cha maridhiano!
Kwa nini hamtaki kukubali ukweli tu kumbe shida yenu kubwa ilikuwa ni kupata chochote kitu kwa ajili ya matumbo yenu?
Mmelamba asali sasa mnaona mmepata kila kitu
πView attachment 2249845
Magufuli aliwakosea sana kwa kuwanyima hata tone moja tu. Alikuwa akikutana nao, watapiga picha tu lakini hawapati hata tone moja.